dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Narattive: Mbinu ya 'Kidiplomasia' inayoweza kulinda mahusiano yako dhidi ya waharibifu

    Hili neno 'narattive' huwa linatumika sana kwenye siasa za kimataifa hususani kwenye mahusiano ya kimataifa. Narattive ni silaha moja muhimu sana katika kuhakikisha kwamba, nchi inalinda ideology yake na misingi yako pale inapohusiana na taifa lingine. Kwa mfano nchi kama America na Ulaya...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

    Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu. Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu. Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
  3. JamiiForums Tanzania Vote namba 20 ya Bajeti ina utakatifu gani dhidi ya katiba ya nchi?

    Tumemsikia kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo bwana Zitto pale Mbagala Zakhem akitueleza Watanzania namna mambo ya ajabu yanayoendelea Bungeni. Amesema kwa ufasaha kuwa kifungu namba 20 cha bajeti ambacho kina fedha za Takukufu, Usalama wa Taifa na matumizi binafsi ya Rais kimewekewa zuio na sheria...
  4. JamiiForums Tanzania Kukatisha matangazo Mubashara ITV dhidi ya mkutano wa ACT Zakhiem

    Tarehe 19 Februari 2023 chama cha ACT Wazalendo walifanya mkutano wao wa Kwanza ambapo viongozi wake wa kitaifa walishiriki na kuongea na wananchi. Cheche zilianza kuonekana pale aliposimama Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar ambape pia ni makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar alipoelezea umma...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna mtu mwenye akili timamu alienda uwanjani akiamini Simba itashinda dhidi ya Casablanca?

    Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja! Hivi kweli tukiweka bangi pembeni Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja? Tukubali tukatae wale watu hakuna timuvya kuwafunga hapa bongo na jana mpira walioucheza walicheza kwa...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Michezo michafu dhidi ya uchumi, ukweli ni upi?

    Kuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha. Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage? je tuna la kujifunza? Mshana Jr raraa...
  8. JamiiForums Tanzania Arsenal kufunga zaidi ya goli tatu dhidi ya Manchester City mchezo wa Februari 15

    Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya kichina “The Knockout” yajizolea umaarufu mkubwa wakati China ikiendelea na vita dhidi ya ufisadi bila kusita

    Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320. Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaposema Kilimo ni kipaumbele cha Serikali yake anamaanisha?

    Raisi Samia anaposema kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita ni kilimo anamaanisha? Hivi mbona tunakurogona jamani? Kweli kipaumbele cha serikali ambayo haijachaguliwa ni kilimo? Naogopa sana kusema ila tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka pasipo kupigiwa kura ni serikali za ovyo...
  11. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi kuna nini nyuma ya pazia?

    Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu. Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Nini chanzo cha 'ujasiri' huu dhidi ya trafiki?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari. Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli hakupenda ushindani wa shirika la ndege la Fastjest dhidi ya ATCL?

    Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini. Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki. Kwanini hayati Magufuli...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

    Profesa Ibrahim Hamis Juma anastaafu mwaka huu, 2023. Jaji Mkuu alipata mamlaka hayo kipindi cha awamu ya tano, na kimsingi, ilikuwa ni mahala pa yeye kutenda alichohubiri madarasani kwa maisha yake yote ya kitaaluma kuhusu mgawanyo wa madaraka. Ni wakati wa uongozi wake JPM aliteua Jaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Ifike hatua, wanawake muwe na huruma dhidi yetu wanaume

    Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

    Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema. Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare. Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.
  19. JamiiForums Tanzania Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa hata dakika ya 15 tu ya Mchezo walikuwa ni Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho. Ni mpaka uujue...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ndio ubora wa Mbrazili dhidi ya Mgunda

    1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo. 2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi inachezwa. Hiyo ni tofauti na Mgunda. Siku tunafungwa na Azam Mgunda hakubadili mbinu. Au kabla ya Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…