dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

    PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow. Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
  3. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi inavunja kanuni za mpira ili kuilinda Simba sc dhidi ya KMC

    Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni fikra za umaskini zinazofanya watu wafikiri kila aliyefanikiwa ni freemason ama atoa kafara au chuki dhidi ya waliofanikiwa?

    Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi. Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
  5. JamiiForums Tanzania LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

    "Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ Kwenye π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ itakapofika 𝐝𝐚𝐀𝐒𝐀𝐚 𝐲𝐚 πŸ‘πŸŽ, wana...
  7. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  8. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Syria waanza kuondoka Lebanon baada ya chuki dhidi yao kuzidi

    Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu. Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao kisa chuki zimekidhiri. More than 300 Syrian refugees headed back home to Syria in a convoy on...
  9. JamiiForums Tanzania Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  10. JamiiForums Tanzania Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

    Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka Kufungua Mashtaka dhidi ya Tanesco kwa hasara waliyonisababishia

    Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
  12. JamiiForums Tanzania China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

    Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on semiconductors, 100% on EVs, And 50% on solar panels. China is determined to dominate these industries. I'm...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Yanga dhidi ya Mamelodi, majibu yanapaswa kutoka lini?

    Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF? Japo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soma kwa umakini. Elimu ndogo ya ulinzi dhidi ya udukuzi mtandaoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine. Mara zote account...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Mandela: Babu angekuwapo angewaunga mkono HAMAS na Wapalestina dhidi ya Israel!

    1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel. 2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT, UDSM au wapi wa aina ya mjukuu huyu wa Mandela? 3. Kwamba nani anaweza kuthubutu kwa na hakika...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanadada bondia Claressa Maria Shields atangaza pambano lake dhidi ya bondia wa kiume Ryan Garcia amuoneshe kazi.

    Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia . Ryan Garcia tangu amtandike kiroho mbaya bondia Devin Haney amekuwa na mapepe sana mpaka imekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania kitakachowaua Azam fc dhidi ya Simba sc (Mzizima Derby) ni hiki hapa

    Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya (1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
  18. JamiiForums Tanzania Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…