Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 16,417
- 25,359
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA
Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns.
"Nilipokutana na Rais Wallace (Karia) baada ya ile mechi ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga SC nilimwambia 'Nilifikiri ni goli lile', lakini kama Rais wa CAF siruhusiwi kusema chochote"..
#FutbalPlanetUpdates
NB:Kwani Makolo mnasemaje !!!!!