dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  2. JamiiForums Tanzania TEC yalaani Shambulizi Dhidi ya Padre Charles Kitima, yataka uchunguzi wa haraka na uwazi pasipo na upotoshaji

    Baraza la Maaskofu Tanzania Limetoa wito kwa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote husika na kuwakamata kwa ajili ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria Aidha Baraza limeesa jeshi la polisi kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  4. JamiiForums Tanzania Jiwe halijawahi kushindwa dhidi ya nazi!

    Mwanasheria mmoja alimuuzia kisima cha maji mwalimu. Lakini baada ya kupita siku mbili, mwanasheria yule alirudi kwa Mwalimu aliyemuuzia kisima na kumwambia: "Ndugu, nimekuuzia kisima; ila siyo maji yaliyomo katika kisima. Hivyo, kama unataka kutumia hayo maji itakupasa kulipia ziada ya pesa"...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Pakistan ana nafasi kubwa kuichakaza India vita vikizuka. Modi hana nyenzo kuizuilia maji

    Kwa ujumla wake tukio la kuuliwa watalii wa ndani huko Pahalgam jimbo la Kashmir ni kitendo kilichopangwa kitokee muda mrefu tangu Narenfa Modi na chama chake cha BJP alipoingia madarakani.Lengo limekuwa ni kubadili ulinganifu wa watu wa maeneo hayo kuwapa nafasi zaidi wahindu dhidi ya waislamu...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi October 2025: Tukapige kura kuzilinda Simba na Yanga dhidi ya wanaotaka kuzifuta

    Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
  7. JamiiForums Tanzania Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

    Awali ya yote natumai mu buheri wa afya.. Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!. Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
  8. JamiiForums Tanzania Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

    Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  10. JamiiForums Tanzania Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

  11. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  12. JamiiForums Tanzania Ukhulukutabu, usaliti na uasi ni maneno yenye maana moja, ambayo ukiyafanya dhidi ya nchi yako yanaitwa uhaini

    Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat. Wananchi ndiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mechi ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa Mei 10, 2025

  15. JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  16. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema atetea Maamuzi ya Tume ya Uchaguziji dhidi ya CHADEMA

    John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi. Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi. Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  18. JamiiForums Tanzania Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  19. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hakimu aliyetoa hukumu hii dhidi ya Vijana wa CHADEMA -SIMIYU, kwanini asifutiwe shahada yake ya sheria?

    Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?. Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…