Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta.
Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa kazi gani?
Foward za Arsenal ni Butu lakini bado aweka trust kwao kweli huyu ni Kocha?
Jana...
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile
Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa...
Kama wao wamesema watamsaka wamuue, kwanini naye asiwafanyie kama Ayatollah Khomeini did to Salman Rushdie? Jino kwa jino ili waonje ladha ya dawa yao waone utamu wake. Nimeudhika namna walivyoua mahululaini wa kiajemi. Poleni waamini na mnaongojea kufa na kupewa hao wadude. KKKKK. Naomba...
KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe,
Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni...
Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
Mashariki ya Kati yawaka moto
Tulijadili suala la vita mashariki katika nyuzi tofauti. Kwa umuhimu wa tukio linaloendelea uzi huu utajadili kwa kina nini kimetokea, kinatokea na kitakachotokea siku za usoni
Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kwa makusudi au kutoelewa au kuelewa nusu...
https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6
Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA.
CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake.
Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI.
Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa:
1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran.
2. Wananchi...
Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia
Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na lenye gumzo kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.
Jamii ya kidemokrasia, maandamano ni moja ya njia...
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa.
Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
Wakuu,
Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii
Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.