dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  2. Paul Alex

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha wadau kwenye uchimbaji wa dhahabu.

    Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga. Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa. Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu...
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Wachina 17 Washutumiwa Kuendesha Mgodi Haramu wa Dhahabu Congo

    Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako mkali wa uchimbaji wa madini yake bila leseni. Wanaume hao waliletwa katika mkutano na waandishi wa...
  4. Brojust

    JamiiForums Tanzania Geolojia inasemaje katika hili, Je kwanini Zanzibar hakuna madini ya dhahabu, copper au Almasi?

    Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa. Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ? Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Crusher linaweza kusaga kipande cha dhahabu?

    Ukiweka kipande cha dhahabu (nugget) cha gramu 500 kwenye mawe yanayosagwa kwenye crusher linalosaga mawe yenye dhahabu, hicho kipande nacho kitasagika na kuwa unga?
  6. Melubo Letema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanariadha Magdalena Shauri Ashinda medali ya Dhahabu Shenzhen Marathon, China

    Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024. Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa

    Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu. Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu kinafanyika. Kipindi cha mvua tumekuwa tukipata shida sana kwani hii stendi huwa inajaa maji na hata...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Chukua Tahadhari unapopishana na Magari yanayobeba kemikali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu

    Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) pindi linapopata ajali badala yake wachukue tahadhari kwa kukaa umbali wa mita 100 ili kutopata...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Luhemeja: Tanzania kupitia NEMC, yaongeza juhudi kupunguza matumizi yatokanayo na zebaki ambayo hutumiwa sana na wachimbaji wadogo wa dhahabu

    Tanzania imezidisha juhudi za kupunguza matumizi yatokanayo na zebaki ambayo hutumiwa sana na wachimbaji wadogo wa dhahabu (ASGM) lakini inatajwa kuwa ni hatari kwa afya na mazingira. Mhandisi Cyprian Luhemeja, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akizungumza katika...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hizo Dhahabu zinazo chimbwa Geita na kwingineko kanda ya Ziwa, mbona bado Umasikini uko juu sana?

    Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho. Hio Geita ukisikia wakina Musukuma...
  11. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Nauza hereni za dhahabu....

    Matajiri hamjambo...... Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru... Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao. Serious buyer njoo pm, unipe location nkuletee, Dar tu....mikoani situmi. Risiti nlionunulia ipo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mgodi Mkubwa wa Dhahabu Nyanzaga - Sengerema Kuanza Ujenzi Mkubwa Januari 2025

    MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025 ⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia ●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 ● Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria. ●Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo...
  13. mr pipa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

    Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli. Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu Tunduru

    RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU -Ni soko la Madini la 43 nchi nzima -Apongeza ushiriki wa sekta binafsi -Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli 📍Tunduru, Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  16. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria 6 za dhahabu kwa nyie wanaume

    1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae. 2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini ya Dhahabu ya shilingi bilioni 3.4 yakamatwa Bandarini yakitoroshwa

    Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitupwa kama jiwe wapo watao kuokota kama dhahabu

    Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini? # Wapo watasema wanaona mti #Wapo wataosema wanaona kuni. #Wapo wataosema wameona Mbao. #Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme # Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba. WOTE WAPO SAHIHI...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa North Mara wasema umetoa Vijiji vitano vimepewa Tsh. Bilioni 2 za mrabaha Nyamongo-Tarime

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na Wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi . Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa...
Back
Top Bottom