dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    RC Mhita: Shinyanga imezalisha Tani 43 za madini safi

    Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4; kuongezeka kwa fedha za kigeni kutoka Dola za Marekani milioni 44.33 mwaka 2020 hadi milioni 191.15 mwaka...
  2. M

    Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  3. Nitapata wapi wachimbaji wadogo wa dhahabu tufanye kazi?

    Habari za jioni. Natafuta wachimbaji wawili wadogo wa dhahabu ambao wameshawahi kuuza mzigo mara 2 au zaidi. Kuna biashara nzuri ya kufanya. Mwenye connection aniunganishe naye tafadhali !!
  4. Hizi ndio fursa/kazi unazoweza kuzifanya katika maeneo ambayo yana migodi ya dhahabu

    Maeneo; Maeneo yote maarufu kwa uchimbaji wa madini ya DHAHABU katika kila mkoa kwa nchi nzima ya TANZANIA. Kwa hapa tanzania mikoa/sehemu ambazo zina madini ya DHAHABU kwa wingi ni Geita ( nyarugusu, mgusu, nyaruyeye, buzibwa, iseni na lwamgasa n.k), shinyanga ( kahama, mwime, bulyanhulu...
  5. Bei ya madini ya dhahabu Tanzania

    Bei ya madini ya DHAHABU leo Tarehe 19 July kwa kila gram 1 ni kama ifuatavyo: ■ soko la dunia gram 1 ni Tsh 280,822/= ■Soko la Tanzania gram 1 ni Tsh 252,740/= Wewe unafikiri ni kwanini bei inatofautiana hapo??
  6. Dhahabu yote inayochimbwa Tanzania itakuwa inashafishiwa hapa

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA Hii itakua ni lazima na sio hiari dhahabu itakayotoka nje ya Tanzania ni ile tu ambayo ni final product na sio ambayo bado haijashafishwa Eti nchi kama uswiss ambayo haina hata mgodi mkoja wa dhahabu eti wana-reserve kubwa ya dhahabu hiki si kituko Na lazima ifanyike...
  7. Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold

    Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20. Mikataba hiyo...
  8. Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  9. Maarifa ni dhahabu masomo ni tiba

    . Hebu angalieni hii picha, lakini msiishie kuiangalia, itazameni na mnapoitazama, itazameni kwa makini. Kisha tafakari ujumbe ufuatao👇👇👇 Hivi unajua kwamba kila mmoja wetu hapa duniani amefanikiwa? Yaani hakuna mtu duni, maskini, fukara, boya, lofa wala kenge. Uduni, umaskini na ufukara...
  10. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  11. Jina zuri na urithi una thamani zaidi ya Fedha na Dhahabu

    "Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka yangu lakini ni tuzo pekee ya Ballon d'Or pekee barani Afrika. Hata kama mtu tajiri zaidi...
  12. Mliomnyima kitalu cha kuchimba dhahabu Kigwangala mnasababisha atokwe na mapovu sana... sio sawa..

    Kigwangalah should learn to MOVE ON... He is not the only citizen who deserves to be a minister. Hata Lucas Mwashambwa anaweza kuteuliwa na rais kuwa mbunge na akawa waziri siku hiyohiyo. Ile ni nafasi ya kisiasa tu haina uzito kama ukatibu mkuu wa wizara. Huyu jomba kila siku anatoa kilio kwa...
  13. Nanyumbu Yazalisha Dhahabu za Bilioni 1.28, Serikali Yahimiza Uchimbaji Endelevu

    NANYUMBU YAZALISHA DHAHABU ZA BILIONI 1.28, SERIKALI YAHIMIZA UCHIMBAJI ENDELEVU Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani humo katika...
  14. Makaa ya Mawe, Vito na Dhahabu, Makusanyo maduhuli yafikia asilimia 98 kwa mwaka 2024/2025

    MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Ruvuma yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/2025 ni Shilingi Bilioni 32.5. Fedha hizo ni makusanyo ya mpaka tarehe 19 Mei, 2025 wakitarajiwa kuvuka lengo la fedha...
  15. W

    Nanyumbu yazalisha dhahabu za Bilioni 1.28, Serikali yahimiza uchimbaji endelevu

    Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani humo katika kipindi cha miaka minne (2020–2023). Hayo yameelezwa leo Mei 20 2025 bungeni jijini...
  16. Jinsi MAABARA za kupima madini zinavyowatajilisha wachimbaji wa DHAHABU Tanzania. Uzoefu wa miaka 10

    Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist). Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa Tangu wakati huo nimekuwa...
  17. Ninatafuta muuzaji/wauzaji WA dhahabu. Mwenye uwezo WA kusupply minimum kilo5 kwa mwezi

    Habari ya jioni Wana JF, Nina connection na kampuni kubwa iliyo na ofisi zake hapa Dar es salaam pamoja na Dubai. Wanahitaji supply kubwa ya dhahabu yaani kwa soko lao wanao uwezo wa kununua mpaka kilo nne kwa wiki non stop. Changamoto iliyopo ni upatikanaji wa mzigo umekuwa wa kusuasua Sana...
  18. Kampuni ya Perseus Yatangaza Kuanza Ujenzi wa Mgodi wa Dhahabu wa Nyanzaga Wilayani Sengerema

    ▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4 ▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali Kampuni ya Perseus ya Nchini Australia yatoa tangazo rasmi la kuanza ujenzi wa mgodi wa dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza utakaomilikiwa na Kampuni ya Ubia ya Sotta...
  19. Bei ya Dhahabu Inapanda; je Tanzania tunfaidikaje

    Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
  20. Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…