Nitapata wapi wachimbaji wadogo wa dhahabu tufanye kazi?

Nitapata wapi wachimbaji wadogo wa dhahabu tufanye kazi?

Mwafrika mmoja

Senior Member
Joined
Mar 15, 2019
Posts
104
Reaction score
234
Habari za jioni.

Natafuta wachimbaji wawili wadogo wa dhahabu ambao wameshawahi kuuza mzigo mara 2 au zaidi. Kuna biashara nzuri ya kufanya.

Mwenye connection aniunganishe naye tafadhali !!
 
Njoo
20250617_114058.jpg
 
Back
Top Bottom