Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia.
Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea...