dereva

  1. Dereva wa delivery anapatina

    Wakuu wanajamii forum kuna ndugu yangu anatafuta kibarua cha udereva wa delivry iwe ofisini kwenye restorant au kwenye maduka anafanya ... Anajua kutumia chombo cha moto vizuri pikipiki na gari pia na analeseni ya udereva... Kama kuna mtu yoyote atamuhitaji basi awasiliane na mimi pm ..
  2. USA wako mbali sana: Sahivi Tesla inatoka kiwandani ilikotengenezwa hadi nyumbani kwa Mteja bila dereva!

    Ni Tesla tena. Juzi wameshazindua officially huduma ya robotaxi, kwa kuanzia Austin, Texas, ambapo mteja utaita gari like Uber/Bolt hafu itakuja Tesla bila dereva, na kukupeleka unapoenda. Makato juu kwa juu. Sasa sahivi wameenda next level na autonomous driving. Gari ikitoka kiwandani...
  3. R

    Kifo Cha dereva, kimewavuruga waliobakia, Unatamani kugombea Ili iweje?

    Salaam, Shalom! Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki. Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo. Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na...
  4. Dereva mtanzania ajiua nchini Zambia baada ya kukamatwa akiiba mafuta

    Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini. ____________________________ A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
  5. R

    Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

    Dereva wa gari linalosafirisha boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza), Hamidu Mshamu ameeleza changamoto anazokumbana nazo akiwa katika safari ya siku 14 kutoka Mtwara hadi Mwanza. Akizungumza akiwa mkoani Morogoro leo Alhamisi Juni 19, 2025, Mshamu amesema tayari...
  6. P

    DEREVA PIKIPIKI

    Anaitajika Dereva pikipiki (1) 1. Awe na leseni 2. Awe anaishi banana , majumba sita, kitunda , kibeberu, kivule, mwanagati. 3. Malipo ya mwezi: 200,000 4. Ela ya chakula 2,500 5. Awe analielewa na kulijua Jiji la Dar es salaam vizuri. Mawasilino: mazingirapacha@gmail.com AU...
  7. Je ni kweli dereva kashindwa kuliendesha gari

    "Dereva Mpya na Safari ya Basi la Taifa" Katika mtaa wa fikra na mtaa wa dhamira, palisimama basi moja kubwa lililobeba matumaini ya wengi. Basi hilo lilikuwa limezoeleka, likiwa na alama ya miaka mingi ya safari na vumbi la historia. Lilikuwa linajulikana kama "TAIFA EXPRESS" — basi la watu...
  8. Dereva wa gari la CHADEMA adakwa kwa kusababisha ajali Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro. Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
  9. Mimi ni dereva wa UBER, bolt, farasi natafuta gari ya hesabu

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
  10. B

    Dereva Uber na Bolt

    Dereva Uber/Bolt Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  11. Picha: Ajali mtu mmoja adaiwa kufariki, BMW X5 yateketea kwa moto, dereva akwepa Ng'ombe na kugongana na basi la ABC

    Mtu mmoja ameeefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya BMW na Bus la abiria la ABC,ajali hiyo iliyotokea barabara ya Dodoma-Morogoro eneo la Makalavati kwa mujibu wa mashuhuda wanasema dereva wa gari ndogo alikuwa anamkwepa Ng'ombe na kupelekea kwenda kugongana na Bus la abiria la...
  12. Dereva natafuta gari

    Habari naitwa Iman nipo Dodoma natafuta gari la kufanyia kazi bolt, nina uzoefu WA kutosha zaidi ya miaka minne. Kwa Dodoma hesabu yetu waga ni 150,000 kwa wiki na kwa magar ya mkataba waga ni 200,000 kwa wiki naomba mwenye gar anisaidie. Mawasiliano yangu ni 0695276900 asante
  13. J

    Nahitaji usafiri wa Lori kwa dereva anayepita Ziba Igunga

    Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo
  14. B

    Dereva Uber/Bolt

    Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  15. B

    Dereva Uber/Bolt

    Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  16. G

    dereva nauliza

    Tuliofanya practical ya madereva TRA vipi kuhusu majibu yameshatoka naona kimya mpka leo kuna lolote wadau
  17. Dereva tax mtandao

    Naitwa Nehemia Elias Bhoke, Natafuta gari ndogo ya mkataba, nina uzoefu wa udereva wa tax mtandao(UBER,BOLT,FARASI N.K), kwa yeyote mwenye gari tuwasiliane 0698789184.
  18. Hamilton na Ferrari prove that hakuna dereva mzuri kwenye gari mbovu

    Sir Lewis Hamilton anaendelea kustruggle huku watoto wa McLaren wakiendelea kuwasha moto lawama ni kwa engineers na mipango ya team. Ukisoma comments nyingi za wapenzi wa F1 ni kuwa Sir hapati ushirikiano na agenda ni kumtoa kwenye reli huyu bingwa mara 7 hapo ndio utajua kuwa roho mbaya haipo...
  19. Unakumbuka yale ya AGP Siro na Dereva wa Tex kumteka Mo? ndio haya ya mtu mmoja anashikiliwa kwa kumdhuru Dr Padri Kitima

    Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa. Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
  20. Dar: Mto wafurika maji, mitihani darasa la nne yavushwa mto na dereva bodaboda

    Bodaboda akivusha mitihani eneo la Mto Mzinga maarufu Kwa Kichwa, Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam baada ya kufurika maji kutokana na mvua zilizonyesha kuanzia jana. Mitihani hiyo ni ya wanafunzi wa darasa la nne ambao leo Jumanne Aprili 29, 2025 wanafanya mtihani wa majaribio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…