deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka nilipe deni au nikanunue kitendea kazi

    Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6. Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150. Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi...
  2. JamiiForums Tanzania Mpina: Kuna tuhuma za wizi wa kutisha! Deni la serikali lapaa kutoka trilioni 60.7 hadi 115.2 kwa miaka mitano

    "Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na ongezeko la trilioni 54.3. Deni limeongezeka kutoka ukuaji wa wa asilimia 7 hadi ukuaji wa asilimia...
  3. JamiiForums Tanzania Sina Deni anapenda Maswali: Kwa nini biashara ndogo Tanzania zinapata ugumu wa kukuza mitaji?

    Sekta ya ๐— ๐—ฆ๐— ๐—˜๐˜€ nchini Tanzania ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wetu, lakini pia ndiyo sekta inayobeba kiwango kikubwa zaidi cha โ€œ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น ๐—บ๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐˜†โ€ โ€” yaani kufa kwa biashara na kupotea kwa mtaji kabla biashara haijakomaa. Tafiti zinaonyesha kuwa SMEs zinachangia takribani ๐Ÿต๐Ÿฑ% ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

    Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia. Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2 Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Value ya wanawake inapungua haraka, Yule binti aliekuwa too hot tukiwa rika la 20s leo anajitongozesha kwangu tukiwa 30s nimlipie deni la elf 50

    Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k. Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
  7. JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
  8. JamiiForums Tanzania Global Economy: Hali ya deni la dunia ilivyo mpaka sasa

    Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 โ€” kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Amefika benki na kukuta deni ambalo halifahamu

    Muda si mrefu napokea simu kutoka kwa relative yangu mmoja, Kisa chake alivyonisimulia kiko hivi. Ameenda benk, anataka aombe mkopo (basically kufanya top up). Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB. Sasa huko akaambiwa kwenye mfumo kuna deni la milioni 3 NMB. Alipoenda NMB napo wanaangalia...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  11. JamiiForums Tanzania CCM walisema Samia hana deni, Sasa atafanya kazi gani?

    Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano. Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu Hassan Hana deni la kuleta maendeleo Kwa watanzania nchi nzima, Kwa miaka mitano hijayo akiwa Rais ...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  13. JamiiForums Tanzania Netflix yaridhia kuinunua Warner Bros kwa $ 72bn, inalipa deni lote la Taifa na bajeti ya mwaka mmoja juu

    Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali. Tume ya ushindani ikipitisha...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Debentures, Debt Instrument,Mikataba na Dhamana ya Deni

    Habari za wakati huu; ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo nimewiwa kurejea na kuleta muendelezo wa mijadala yetu ya biashara na ujasiriamali nikiamini kwamba kuna...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa โ€“ USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt โ€“ USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia โ€“ TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius โ€“ MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola โ€“ USD 50,260 million (Dec 2023)...
  18. JamiiForums Tanzania Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi. Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa: Trafiki: RTOC Parking: Parking
  19. JamiiForums Tanzania Tukizingatia Exchange, deni la taifa ilibidi lipungue

    Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na taarifa kuwa exchange rate imezingua, lakini ieleweke kuwa thamani ya shilingi imeimarika kuanzia mwezi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ