demu

A diesel multiple unit or DMU is a multiple-unit train powered by on-board diesel engines. A DMU requires no separate locomotive, as the engines are incorporated into one or more of the carriages. Diesel-powered single-unit railcars are also generally classed as DMUs. Diesel-powered units may be further classified by their transmission type: diesel–mechanical DMMU, diesel–hydraulic DHMU, or diesel–electric DEMU.

View More On Wikipedia.org
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Unamnunulia demu gari ila anaenda kulala na mwana aliemsaidia kuziba pancha road. Hivi hakika ni kipi warembo wetu hawa wanachokitaka haswa?

    Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wako akikwambia ana pumu usilazimishe aje ghetto. Ona kilicho tokea kwa demu huyu ( Rest In Peace)

    Huyu msichana umri wake ni miaka 24. Kamaliza Chuo ( Diploma) mwaka Jana Sema kwa sababu kwa aina ya diploma aliyo kuwa anachukua ( Procurement) ilikuwa ngumu kupata kazi so alikuwa nyumbani tu kwa wazazi anasaidia biashara za nyumbani. Perhaps alikuwa anasubiri kwenda Veta. Uhusiano wangu...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nilifumaniwa kwenye geto la demu enzi hizo lakini mzee wa nyumba ile akasema nisipigwe na vijana wanisindikize hadi kwetu.

    Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa? Kipindi hicho genye ndo limeshika hatamu yaani huniambii kitu kuhusu mbususu mara kadhaa nilikuwa sili...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Twende logically, kwanini uhudumie demu ulie nae kihuni for the sake ya kupata penzi lake ambalo hilo hilo kuna mwana veta analipata bila ya kujipinda

    Acha mihemuko ya kuniambia "tafuta hela wewe" Acha mihemuko ya kuniambia "sasa unataka uhongwe wewe? Simaanishi kui-normalize hii ila more and more nazidi kuheshimu wale wana wanaotoa escorts mitandaoni na kwenda physically pale riverside, wanapigana nao mieleka baada ya hapo shughuli na yeye...
  5. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  6. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  7. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu

    Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣 wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu unalikuta linalipa hiyo kodi hata bima ya afya hana. Mimi nakumbuka niliwahi kuachana na demu mmoja mseng&...
  8. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

    Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota.. Binafsi...
  9. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Demu aliyeniambukiza gono kaja tena ghetto

    Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa. Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku...
  10. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kuishi na demu ghetto nimeacha Nyeto

    Hakika dawa ya kuacha nyeto automatically ni kukaa na mwanamke pamoja Nlikua mdau wa nyeto a.k.a mkono bao tangu mwaka 2004 hadi mwanzoni mwa mwaka 2025 Hatimaye nikapata mtoto mzuri wa mwaka 2005 naishi nae maskani, huwezi amini ni mwezi sasa nimeachana na nyeto na siitamani tena Maana...
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU One Man down again Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga He rest down because of love MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia LONDON BOY
  12. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

    MZUNGUKO WA MAISHA WA MWANAMKE WA KISASA (MALAYA) Umri wa Miaka 12-15: Anaanza kufungua miguu yake kwa wavulana wa shule ya sekondari na kuanza kupata uzoefu mwingi wa kingono. Umri wa Miaka 16-18: Katika hatua hii, anaanza kuweka vigezo vya juu kwa wanaume na kuanza kufikiria kuwa yeye ni...
  13. Master20

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumpata demu yeyote unayemtaka

    Ndugu yangu leo nimeamua kukuletea mbinu nne za kumpata mwanamke yeyote unayempenda bila hata kumtamkia kama unampenda. twenzetu!! 1. Mpe hela 2. Mpe tena hela 3. Endelea kumpa hela 4. Endekeza hivyo hivyo kumpa hela ukipita mwezi hajakukubalia niite mbwa!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mawazo gani yalikupitia kichwani baada ya kumaliza "game" na huyo demu?

    Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa hujaona vizuri kwamba ni lishangazi basi hapa ndio utaona, kama mliokotana Tandale kwa mfuga mbwa na...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  16. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Kuna demu anapenda sana kuniangalia, je atakuwa ananipenda?

    Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je kipi kinafanya aniangalie sana?..
  17. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Demu ninayempenda hanitaki ila rafiki yake ananipenda balaaa!

    Habar wana jf. Bwana katika harakati zangu niliweza kukutana na wasichana wawili " Eliza na Grace" sio majina halisi, macho yangu yalitokea kuvutiwa sana na uzuri wa Eliza japo wote ni wazuri haswaa!, tulianza kuwa kama marafiki, it means mimi Eliza & grace, tulizoeana kwa kipindi cha miezi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kapeleka mpenzi geto bahati mbaya mwanamke akafariki. Anatakiwa kufanya nini ili asifungwe?

    Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe. Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Bahati mbaya...
  19. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

    Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima, Badilikeni.
  20. safuher

    JamiiForums Tanzania Kidume inabidi uwe tough kwa demu unayetaka kumtongoza, utampata kwa urahisi

    Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana. 1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
Back
Top Bottom