A diesel multiple unit or DMU is a multiple-unit train powered by on-board diesel engines. A DMU requires no separate locomotive, as the engines are incorporated into one or more of the carriages. Diesel-powered single-unit railcars are also generally classed as DMUs. Diesel-powered units may be further classified by their transmission type: diesel–mechanical DMMU, diesel–hydraulic DHMU, or diesel–electric DEMU.
Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
Nlikutana naye Supermarket moja inaitwa T&T ana makalio yanaonekana ingawa kavaa baibui. Sasa ikawa kila nikizunguka nakutana naye. Kama mara 3 hivi.
Mwishowe akaja niuliza kama kitu flani nmewahi kutumia ni kizuri. Nikamwambia ni kizuri nmewahi tumia na ni halal kwake. Akacheka na kushukuru...
Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa kununua nyumba yao ya kuishi pamoja.
https://youtu.be/f4z3j5N8b8g
Lakini mimi binafsi naona kama...
Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park.
Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu...
Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa.
Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana.
Yeye aliniambia anaishi Sinza, na alikuwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili IFM. Kwa kifupi alikuwa msichana wa...
Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo ananiambia piga ila nimekausha kiufupi Sina mzuka nae kabisa Sasa hivi wezangu mlishawahi kukutana na hii...
Yaani huyu demu nilitaka kumuacha ghafla akaniwahi aisee ananiambia tuachane nifanyeje
Yaani Kila nikimuona anajifanya mjanja mwenyewe naona anajisifia kwa rafiki zake eti kaniacha aisee mbinu Gani nimrudie au nikachane nae nisiwe na time naye he anaweza kuumia sababu kwao ni njia ninayopitia...
Huyu mrusi kazi yake kuwala wadada tu adi kanisani , haangalii sura yeyote analiwa tu asee.
Sikutegemea kama binti wa kilokole anaupolewa kirahidi hivyo duuuh
Mwanamke ni kiumbe hatari sana.
Kuna mdau mmoja humu kauliza swali kama kiredio na demu wake wamewchana.
Hata hivyo kamati ya umbea ya JamiiForums ikiongozwa na Gentamycin imefuatilia na kubaini Demu wa kiredio anayejulikana kama Vee Dollarz amefuta picha zote alizopiga na kiredio au alizochapisha zenye sura ya kiredio katika...
Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii
Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama...
Nilikua nimempania nimpige mashine kisawasawa.
Ila kaja ghetto mbiyo mbiyo.
Kafika tu kaweka mkoba wake kabatini akaniambia tumbo linamkata hivyo anaingia toilet kuharisha.
Dah, katoka baada ya nusu saa hivi hata mzuka wa kumtia umeisha.
Kanikata stimu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.