Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais...
Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html
Kwa kuzingatia historia ya utendaji wa bunge letu na mabaraza ya madiwani na jukumu la msingi sana la kizalendo ambalo kila mwanazuoni anajivika pale anapokuwa amehitimu mafunzo yake na kuapa...
Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao watu wana sauti ya juu kabisa katika kuisimamia serikali yao wakati inatekeleza majukumu ambayo muhimiri wa madaraka unabebwa na nguvu ya umma kupitia wawakilishi. Tangu kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya tano 2015-2020 kumekuwa na ukiukwaji wa haki...
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kutoka kwa wale wanazoziendesha nchi zao kiimla na kujitetea kuwa demokrasia siyo sawa sawa na kinywaji cha coca-cola ambapo radha yake itakuwa moja Dunia nzima.
Tafsiri sahihi ni kuwa demokrasia ni moja Dunia nzima na ni serikali ya wananchi, iliyochaguliwa na...
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama
"Hakuna kama Samia"
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na...
Jamani ili demokrasia iwepo lazima udikteta uwepo maana kama kwenye kuna demokrasia sasa tunakuwa tunadai nini?
Udikteta au maendeleo. Na ubaya wa waafrika tunadai demokrasia badala ya kudai maendeleo maana Mimi naamini maendeleo na mabadiliko ya kimaisha yanamfanya mtu kusahau...
Rais Samia Suluhu amewajibu wapinzani kuwa waache kukariri kwani demokrasia siyo Cocacola kwamba inafanana kila mahali duniani.
Samia amesema demokrasia inatofautiana kutoka nchi moja kwenda nyingine kutokana na utofauti wa mila na desturi vya mahali husika hivyo demokrasia tuliyonayo sisi...
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza.
Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Fuatilia kupitia Ikulu Mawasiliano Link.
Saa 5.20 Inafuata Burudani kutoka TBC
Saa 5.30 Kikundi cha watoto wa Mama.
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu HakiBinadamu.
Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru Wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja na...
September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani.
Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika.
Demokrasia ya Tanzania
Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao.
Ni vizuri rais...
Nchi ya Zambia ilimpata Rais wake wa kwanza mwaka 1968 mzee Kaunda akitokea chama cha UNIP, na baadae wakafuata marais wengine kama 7.
Fredrick Chiluba
Levy Mwanawasa
Rupia Banda
Michael Sata
Guy Scott
Ediger Lungu na
Hakainde Hichelema
Zambia tayari inakuwa imebadirisha pia vyama tawala zaidi...
Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums.
Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) .
FIKRA ZANGU:
Afrika kwa ujumla hatuna viongozi Bali watu wanaocheza na hofu na hisia zetu.
Viongozi wamekuwa watu wanaotafuta njia fupi ya...
Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Chama kupitia barua ya Katibu...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais Samia Suluhu Hassan akisimamia masuala ya utawala bora, kujenga demokrasia na uchumi shirikishi ataingia kwenye rekodi n ahata kupata tuzo ya Mo Ibrahim.
Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo leo Agosti 19...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka.
Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa
"Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa
"Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi mkuu...