Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga
Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana.
Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru
Aliutumia Kwa bidiii kipaji...
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia.
Ukweli ni...
Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni.
Juzi niligombana sana na mke wangu kwasabu alimpiga sana mtoto wetu wa miezi 8 eti kwa mujimu wa yeye alitenda kosa la...
Socrates anayeaminika kama Baba wa Filosifia, akiona kwamba Demokrasia sio njia nzuri ya kuingiza, Kwani ina wapa watu wasio jua nafasi ya kufanya Maamuzi. Njia Bora ni wajuzi ndio waongoze na sio wasio wajuzi. Hapa naona China style ndio njia Bora.
Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia.
Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde.
Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo, kuimarisha uwajibikaji, na kuruhusu wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila shinikizo la chama...
TAARIFA KWA UMMA
KUKOMA KWA AMRI YA ZUIO LA MAHAKAMA KUU LA TAREHE 10 JUNI 2025 KWA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA NCHINI
1. Mnamo tarehe 20 Januari 2026 Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi Mbeya Vijijini liliwavamia viongozi wa Chama cha...
BARUA YA WAZI KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA CHADEMA.
Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA,
na Watanzania wote wanaojali demokrasia,
Leo, tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ninatumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa chama kwa...
Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa kwa mujibu wa Katiba hivyo hakuna anayeweza kwenda kinyume nalo akisisitiza haruhusiwi mtu yeyote...
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninasema bila woga: mjadala wa “haki” unaoendelea hivi sasa si mjadala wa haki—ni jaribio la makusudi la kuyumbisha misingi ya Taifa kwa kutumia lugha tamu ya kisiasa.
Kauli ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, aliyotoa Bunju B tarehe 29 Desemba 2025, imegonga...
Watanzania wametakiwa kuwakataa wale wote wanaohamasisha au kuunga mkono mikakati inayolenga kuingiza nchi kwenye machafuko, vurugu au migawanyiko ya kisiasa.
Hayo yamebainishwa na kijana mjasiriamali na mdau wa masula ya siasa nchini, Masoud Mambo wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Utangulizi: Demokrasia kama Imani, Sio Ukweli
Katika Tanzania na Afrika kwa ujumla, Demokrasia imegeuzwa kuwa imani ya kisiasa isiyoruhusu kuhojiwa. Ukiongea dhidi yake, unaitwa adui wa maendeleo, dikteta, au mtu anayechukia haki za binadamu. Lakini historia na uhalisia vinaonyesha kuwa...
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
Jamii nyingi zilizoendelea Duniani huwa na aina Fulani ya demokrasia. Na jamii nyingi maskini Duniani hujawa na mfumo wa kidikteta.
Mifumo ya kidikteta huzaa viongozi walafi, katili na wasiowekeza kwenye jamii zao zaidi ya kuwekeza kwenye familia zao.
Marekani kwa sasa wana kiongozi dikteta...
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia.
Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ilionekana wazi kuwa lazima mgombea wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda.
Hiyo ni kutokana na madaraka makubwa aliyonayo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ikiwa pamoja na kufanya uteuzi wa uongozi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu
Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya kutisha kuanzia Oktoba 29 na kuendelea, ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa maoni na haki ya kupata...
Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua"
Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.