dawati la jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura Azindua Call Centre Ya Dawati La Jinsia Na Ulinzi Wa Mtoto

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, leo Julai 31, 2026, amezindua rasmi Call Centre ya Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Dawati hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Call Centre hiyo imeanzishwa ili kuboresha upokeaji na ushughulikiaji wa...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni, Dawati la Jinsia na Dini, huruma mnayompa Anko T ndiyo inayosababisha ongezeko la vijana wa kiume kuishi unyumba

    Wizara ya Utamaduni, Dawati la Jinsia na Dini yake, huruma mnayompa Anko T ndiyo inayosababisha ongezeko la vijana wa kiume kuvuana nguo za ndani Unaweza kufurahia matendo ya vijana wa kiume kuishi unyumba labda kama sio mzazi au huna watoto wa kiume au wanaoshiriki sio wanao lakini kwa wazazi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dawati la jinsia na watoto kuwekwa polisi ni bure tu bora liende ustawi wa jamii

    Polisi ni polisi tu hawezi kutenda haki kwa mwaume akamwacha mwanake. Wanaume wengi wanapopeleka malalamiko kwenye dawati hilo polisi wao huwakumbatia wanawake na watoto hara kama mwanamke ndiyo tatizo. Hali hii imepekea wanaume wengi kupoteza mali zao au kuhama na kwenda kuanza upya huku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Inspekta Aveline Temba: Mnaonyimwa unyumba na wake zenu toeni taarifa

    Katika kuhakikisha ulinzi na elimu vinatolewa kwa wananchi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya watumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali...
  6. copyright

    JamiiForums Tanzania Niliyezaa naye hataki kunipa mtoto wangu, nifanyaje?

    WanaJF kwema? Miaka tisa iliyopita nikiwa job kwangu alipita mdada mmoja wa makamo ila kanizidi miaka kadhaa, mi nikamuomba namba baada ya kusalimiana na akanipatia tukaanza kuchat na kuwasiliana sana mana ye hakuwa akiishi maeneo ya karibu na mimi. Tuliendelea kuchat kwa muda tuu na alinambia...
  7. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  8. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Dawati la Jinsia ndani ya Idara ya Polisi, litaongeza Usalama kwa Watanzania

    Dawati la Jinsia ni kitengo kinachopambana na Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kilichopo ndani ya Idara ya Polisi Tanzania na kitengo hiki hupatikana katika vituo vingi vya polis hapa nchini. Dawati hili mbali na kushughulika na kesi za Ukatili, lakini pia kimekuwa kikitumika kwa...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie Polisi: Je, Dawati la Jinsia la Polisi linahitaji maboresho? Tujadili na kushauri

    Nimesoma malalamiko ya wananchi wengi kulalamikia utendaji usiokidhi viwango wa Madawati ya Jinsia yaliyopo vituo vya polisi nchini. USULI Ujio wa Dawati la Jinsia ulishereheshwa na kukithiri kwa vitendo ukatili kwenye jamii, na ikaonekana sehemu kubwa ya ukatili umejaa kwenye mahusiano ambapo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CP Suzan Kaganda awahimiza Dawati la Jinsia kutoa elimu zaidi ili kukomesha vitendo vya ukatili

    Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu CP Suzan Kaganda amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kote nchini kutoa elimu zaidi ili kumaliza vitendo vya ukatili katika Jamii huku akiwapongeza Watendaji wa dawati hilo kwa kufuatili kesi za ukali kwa karibu na wahusika...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watendaji Dawati la Jinsia ‘kupewa mbinu mpya’ Dodoma

    Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wapo Jijini Dodoma lengo likiwa ni kuwapa mafunzo nambinu za kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyofanywa na baadhi ya watu wenye ulewa mdogo na imani potofu. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mdahalo - Dawati la Jinsia lifike mpaka Vijijini

    MDAHALO - DAWATI LA JINSIA LIFIKE MPAKA VIJIJINI Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau mnamo tarehe 06 Machi, 2023 katika wiki ya kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani alishiriki mdahalo wa Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Mwanamwema. Mhe. Martha Gwau, Mbunge wa Viti...
Back
Top Bottom