dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. DCEA yamnasa Kinara wa Mirungi, yateketeza Ekari 285.5 Same

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
  2. Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  3. Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  4. Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
  5. O

    kwanini Dawa za asili/herbal medicinezina gharama kubwa kuliko dawa za hospital, je hakuna regulator?

    Kumekuwa na matangazo mengi ya dawa za asili mitandaoni lakini kamwe hutosikia dawa ya malaria na magonjwa yaliyozoeleka utasikia nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kike. Mambo ya uzazi imekuwa ni fursa sana kwa Sasa. Hii hapa chini inaweza kuwa sababu ya dawa hizo kuwa ghali. Katika...
  6. Msaada wa matumizi ya dawa hizi

    Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
  7. Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

    Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu. Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
  8. B

    Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  9. Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
  10. Matumuzi ya dawa ya meno

    Bado naendelea na usafi wa nyumbani kwangu kama kawaida,muda huu ndio nimemaliza kusafisha bathroom yangu na sasa natumia astra badala ya dettol.Leo naongelea dawa ya meno,je wewe mwenzangu unatumia dawa ipi ya meno? Je kwa mfano umenunua dawa ya brand fulani,ikiisha unaenda kununua brand...
  11. Dawa za Kuotesha Nywele (Upara)

    Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
  12. Je, kuna dawa ya makovu?

    Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu, hivyo ikasababisha vidonda haswa miguuni vilivyopona vikaacha alama za makovu. Lakini, pia niliwahi kuumwa tetekuwanga nilivyopona zikaacha alama mwili mzima, japo huwa zinaisha kidogo kidogo lakini haya makovu ya zamani ya vidonda ya miguu pamoja na haya ya...
  13. M

    Mzee wangu kaacha dawa za presha presha yake Iko 200/93 pr 46

    Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia...
  14. Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
  15. Nauza mbao za dawa buguruni

    Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni 2/2 2900 2/4 5000 1 by 8 12000 1by10 16,000 Misumali inch 4 bei 3500 Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000 .. Zote hizo ni ft 12 Piga sim 0743257669
  16. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
  17. Iipofika topic ya Kinjekitile tulimcheka sana na kumuona mshamba lakini hatukujua hata sisi tulikuwa tushapakwa dawa na kuambia risasi zitageuka maji

    Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion: Tulimshangaa sana ngwale lakini kuna upande mwingine ulituambia alifanya ushujaa ili ashawishi vijana...
  18. S

    Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  19. F

    Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  20. Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

    wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu. Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…