dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

    Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

    Habari zenu wana JF Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania Drones zinatumika kunyunyizia dawa mimea -Kenya

    Mbinu hii mpya inaokoa gharama na muda. https://www.businessdailyafrica.com/bd/corporate/technology/drones-help-farmers-to-cut-spraying-costs-3380338.
  4. JamiiForums Tanzania Thamani ya Dawa na Vifaa Tiba Vilivyo Expaya MSD ni Zaidi ya Tsh 20 Billion; CAG Hajaripoti

    Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya. Je...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

    Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
  6. JamiiForums Tanzania TMDA yabaini dawa bandia ya mifugo

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imebaini uwepo wa dawa bandia ya mifugo aina ya Alben Blue 2.5% toleo Na.019394 lililotengezwa Nov 2019 na lenye tarehe ya mwisho wa matumizi October 2022. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Adam Fimbo imesema...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya asili ya Inguinal Hernia?

    Nasumbuliwa na tatizo la utumbo mdogo kushuka hadi katika pumbu, lakini kama niki lala chali naweza kuurudisha. Natumia kuvaa mkanda sehemu hii ili kuzuia utumbo kutoka pale ninapokuwa natembea kwa mguu au nimesimama. Naomba kuelekezwa dawa ya asili inayoweza kutatua tatizo hili. nawatakia...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    Habari wana JF! Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi. Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja. Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
  9. JamiiForums Tanzania Ndizi zinazoivishwa kwa umeme Je ni kweli zinawekwa dawa ya kuhifadhia maiti?

    Wakuu habari zenu,Katika pita pita zangu masokoni nikakutana na hizi ndizi maarufu kama “ndizi za container” au “ndizi za umeme”.Kilichonistua ni maandalizi ya ndizi hizo mpaka kuiva.Mechanism nzima ni siku tatu mpaka nne ndizi inakua imeiva.Mechanism hii ndiyo iliyonifanya niandike uzi...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti: Mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea Afrika

    Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika. Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini dawa zinazozalishwa nchini bei ipo juu kuliko za nje ya nchi?

    Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa. Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
  13. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Usafi majumbani na maofisini pamoja na kupiliza dawa ya kuua wadudu wasumbufu

    Habari wadau, tunawapenda kuwaalika watu wote wanaohitaji huduma ya usafi majumbani, maofisini pamoja na kunyunyizia dawa wadudu wasumbufu kama vile mende, mchwa, kunguni, mbu, nyoka nk. Tunapatikana Dar es Salaam, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0716806933 , 0765013776. Au tembelea...
  15. JamiiForums Tanzania Madagascar yakubali kupata chanjo ya Covid-19

    Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona. "Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya kupata chanjo hiyo lakini kujisajili ndio jambo la msingi na hatua muhimu kabla ya kupata chanjo...
  16. JamiiForums Tanzania maumivu makali ya kichwa miguu kupasua baada ya kutumia dawa aina ya sipro

    msaada tafadhali nilikua najiskia vibaya homa kali kichwa kuuma kila muda vidonda mdomon nikaenda kituo cha afya kupima nikaambiwa nina typhod 160 nikapewa dozi aina ya sipro tangia nilivyo meza hizi dawa kichwa kinauma sana miguu inapasua mapigo ya moyo kwenda mbio msahada...
  17. JamiiForums Tanzania Israel yatengeneza dawa ya kupuliza puani inayoua Virus kwa asilimia 99.9

    Israeli company 'SaNOtize' invented a life-saving nasal spray that protects and prevents viral infections. Israel is at the forefront of finding medical solutions that are blessing humanity. --- A nasal spray that will be marketed as capable of killing 99.9 percent of virus particles has started...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua dawa ya jino linalouma na limetoboka

    Habari za jioni wakuu Nilienda kituo cha afya nikaambiwa jino la juu ukitoa linaweza kusababisha kifo maana limeunganika na mishipa ya fahamu,naomba kujua kama kuna ukweli wa swala hili? Pia naomba kujuzwa dawa ya jino(jino la juu gego) limetoboka na linaniuma sana pia nimetumia dawa nyingi...
  19. JamiiForums Tanzania Sheria ya manunuzi ya Umma ipitiwe upya huwezi fananisha manunuzi ya dawa na matofali

    Huu ni wito kwa watunga Sera Upo umuhimu wa Sheria ya manunuzi ya umma kupitiwa upya. Haiwezekani Taratibu za kununua matofali au karatasi zikafanana na manunuzi ya dawa na vifaa tiba. yaani paracetamol au gloves zikiisha utaratibu wa manunuzi ulingane na ule wa kununua tofali la kujengea...
  20. JamiiForums Tanzania Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Mkazi wa Mbezi Tangibovu Said Mbasha(24), na wenzake watatu, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin kilo 30. Wengine ni Joseph Dalidali(27) maarufu Kama Mbezi Tangibovu; Allu Murugwa( 24) mkazi wa Kijitonyama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…