dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali za Serikali, ukweli ni upi?

    Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali zilezile umepanda hadi 61% kutoka 21% ilivyokuwa awali . Anayeelewa hizi Takwimu...
  2. JamiiForums Tanzania Kitanda kinamalizwa na wadudu. Mwenye kujua dawa tafadhali

    Wakuu za muda. Kuna hawa wadudu weupe hivi kama wale wa kahawa, wanakula mbao hatari. Sasa nawasikia kila leo wanakula kitanda na huwa nawachokona hadi kuwapata na kuwaangamiza ila bado wanazaliana. Mwenye kujua dawa anijulishe tafadhi
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  4. JamiiForums Tanzania Tonsils dawa yake ni nini?

    Habari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
  5. JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  6. JamiiForums Tanzania Taratibu za kurasimisha dawa asili kwa Tanzania ni zipi?

    Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi hii dunia tutahangaika na huu upuuzi wa Corona hadi lini? Dawa ni kutunga sheria tu

    Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk. - Mfano kwa magonjwa, ukiona NGO inapigia sana kelele masuala ya Ukimwi kwa mfano, basi tambua kuna manufaa wanapata toka...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi 678 za Dawa za Kulevya zashikiliwa Zanzibar

    Na Abubakari Akida,MOHA Jumla ya Kesi 678 za Dawa za Kulevya zimekamatwa na Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2018 mpaka Agosti mwaka 2021 huku jamii ikiaswa kutambua dawa za kulevya ni uhalifu kama uhalifu mwingine ili...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

    Habari wajumbe. Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
  10. JamiiForums Tanzania UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa au namna ya kutibu ulimi mzito na vyakula vya kumpa mtu aliyeungua kinywa

    Habari members. Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito. Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida...
  13. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

    Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa UVCCM na baadhi ya wabunge kuwashambulia kwa maneno mbalimbali. Sitaki kuwauliz hawa wote kuwa miaka ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mbona hamjahoji kuhusu Panadol, Aspirin na ARVs kuwa wazungu wanaweza "kutufanyizia"?

    Makelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii? Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA BCG (Bacile Calmette-Guérin) DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro) Surua Polio Magonjwa haya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  17. JamiiForums Tanzania Gonjwa lisiloponyeka bila dawa

    Ukiachana na magonjwa ya kisaikolojia, kiakili, kimwili, kiroho na mengineyo mengi yale yanayozidi kubainika na kuongezeka siku hadi siku katika kizazi cha ulimwengu wa sasa; lipo gonjwa la muda mrefu, ambalo limedumu karne kwa karne. Gonjwa hili sugu ni kongwe kuliko magonjwa mengine baadhi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora na salama kwa kutumia dawa na mbolea za kibailojia (Biofertillizers and Bio pesticides)

    Habarini wana jukwaa... Mbolea za kemikali na dawa za kimekali limekuwa ni tatizo kubwa linalopelekea mabaki ya hizi dawa au mbolea katika mazao hususa ni mboga za majani. Hali hii ni mbaya maana inaweza kupelekea matatizo kwa miaka ya baadae mfano magonjwa kama kansa. Hivyo tunahitaji mbolea...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Zingatia matumizi sahihi ya dawa

    kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu, Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya kutumia dawa husikana kama kuna kitu kina kutatiza ama hukielewi muulize mtaalamu wako. Dawa hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Mgala muueni haki yake mpeni, na tusisahau baniani mbaya kiatu chake dawa

    Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900). Ujenzi wa hospital ya uhuru ni agizo la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alilolitoa kwa kusema fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…