dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Habari kubwa za magazeti leo Januari 10, 2025

  2. JamiiForums Tanzania Muwasho sehemu za siri

    Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

    Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 38 nguvu za kiume zimeisha kabisa nina thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti kwa dawa

    Habar wakuu nimeoa ndoa ya miaka 12 Nina kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana. Pia nina ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti...
  6. JamiiForums Tanzania Sikio la kufa daima halisikii dawa.

    Wasalaam Nimesikiliza interview ya Ezekiel Wenje iliyofanyika wasafi fm nikagundua kuwa huyu mtu ni nusu mfu na anachowaza ni ruzuku tu na madaraka. Asema eti Abdul ni mtu muungwana sana na mkarimu, kweli leo ccm wamekua wema kwake na chadema? Tangu lini? Ukimwangalia anavyoongea unaona kabisa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  8. JamiiForums Tanzania MH LISSU, Dawa ya Ng'ombe mkorofi ni kumshika mapembe yake, kwakua FAM amedai hamna Rushwa /Mkate /Abdul,, Itisha Waandishi wa Habari Ujibu mapigo

    MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu . Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie. Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita...
  9. JamiiForums Tanzania Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

    Falsafa za Fadlu kipindi cha pili itasababisha siku Simba ifungwe magoli mengi Mohamed Hussein anatoa boko nyingi sana siku hizi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dawa gani hii?

    Habari zenu, nimepewa hii kitu ni kaambiwa unatoa mikosi yote, naomba anayejua kweli na matumizi yake, mzizimkavu popots ulipo na mshana Jr please
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta dawa kwa ajili ya Nge na Tandu

    Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu. Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa...
  12. JamiiForums Tanzania Waganga hutengeneza dawa zao kwa kutumia nini?

    Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili ya kujitibu au kutatua matatizo mbalimbali ambayo wanaamini waganga wanaweza kuwasaidia. Dawa hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

    Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Zipi bora kati ya dawa za kichina na dawa za Kiarabu?

    Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri! Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu? Kwa nilivyofikia, niko tayari kwa ushauri kuhusu dawa hizo!
  17. JamiiForums Tanzania Nimewaletea dawa wale ambao ingawa wameachwa lakini kutwa wanawamiss ma-ex wao

    Najua ni vigumu sana kumsahau mtu ambaye ulishea nae maisha yako kwa kipindi fulani iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa,najua uliwekeza hisia zako na mawazo yako kwake,hivyo umekuwa na hisia kubwa juu yake Lakini leo nakupa dawa kaa kwa kutulia na uachane na kumkumbuka huyo mtu ambaye amekufanya leo...
  18. JamiiForums Tanzania Unga wa mkunazi, kibiriti na mafuta ya mzeituni dawa nyingine kwa wenye gundu

    huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi. Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni dawa ya nini?

  20. JamiiForums Tanzania Dawa ya mseto ya kutibu malaria ipigwe marufuku kama ilivyokuwa kwa chloroquine

    Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana usiku ndo maamuvi yaanapewa greenlight hulalali mwili ulichoka na nguvu zote ziliniishia Week hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…