data

  1. JamiiForums Tanzania Chama kitakachoshinda uchaguzi, kikitaka kuajiri kiangalie data base yake nani alikipa kura, watu tunapiga kura lakini mnatusahau

    Chama kitakachoshinda uchaguzi mkuu 2020,inabidi kianze utaratibu wa kuangalia kanzidata yake kabla ya kuajili MTU ktk ajira ya serikali,ikiwa kilipewa kura na MTU Huyo na anasifa zote basi apewe ajira Kuna watu wanavyeo vikubwa wanakula AC maofisini lakini kwenye kura hawapigii chama. Hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

    Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda...
  3. JamiiForums Tanzania Trachoma Focal Person at Crown Agents and ASCEND Tanzania

    Introduction Accelerating the Sustainable Control and Elimination of NTDs (ASCEND) is a £200 million investment from the UK government’s Department for International Development (DFID), to advance the impact and sustainability of national programs tackling neglected tropical diseases (NTDs). To...
  4. JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaendelea kutuhujumu: Kwanini hawataki kubadilisha data za COVID19 zinazohusu nchi yetu?

    Baada ya usingizi kukata nikaamua kuingia kwenye mtandao maarufu wa Coronavirus Update (Live): 6,844,705 Cases and 398,141 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer unaotoa taarifa za corona kwa kila nchi. Nimestaajabu kuona wanasema Tanzania bado tuna wagonjwa 305. Nachojua ni kuwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Corona imepungua Dar na Wagonjwa waliolazwa Wamepungua

    Akiongea baada ya swala ya Eid jijini Dodoma, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua sana nchini. Amesema hadi leo asubuhi taarifa alizonazo hospitali nyingi hazina wagonjwa na chache zilizobaki wagonjwa wamepungua sana. Kwa mfano Amana mgonjwa 1, Mloganzila 1...
  6. JamiiForums Tanzania Cloud hangs over Tanzania’s Covid-19 data updates

    Cloud hangs over Tanzania’s Covid-19 data updates In Summary The Chief Medical Officer Prof Abel Makubi told The Citizen on Friday May 22 that the probe committee which was formed by Health Minister had completed its work and handed over the report By Syriacus Buguzi and Rosemary Mirondo...
  7. JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  8. JamiiForums Tanzania Senior Data Lead at D-tree

    Who you are We are seeking a full time Senior Data Lead to work closely with our program teams, technology team, government stakeholders, external research, technology and development partners, to help us and our stakeholders gain insights from the data collected in our programs and make sure...
  9. JamiiForums Tanzania Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

    Kulingana na utafiti wa kukusanya data. Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19. Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi. Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania “Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

    “Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa lakini tunaamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania lazima waelewe kwamba changamoto hii ipo na kila mtu sasa kwa nafasi yake, kama kulikuwa na mtu anadhani tunatania ni wakati wa kuchukua hatua”- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema...
  11. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  12. JamiiForums Tanzania Data Use & eHealth Specialist at University of Maryland

    The University of Maryland Baltimore (UMB) works around the world to enhance capacity of governments, Regional and District Health Management Teams to improve quality of health services through targeted technical assistance, systems development & strengthening, and institutionalization of...
  13. JamiiForums Tanzania Data Manager at THPS

    Overview Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministries of Health Community Development Gender Elderly and Children (MoHCDGEC) and Regional Administration and...
  14. JamiiForums Tanzania Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

    "KISANDUKU CHEUSI" KATIKA NDEGE NI HIKI (Cheusi, Ama Chekundu) Ni kawaida kila inapotokea ajali ya ndege ya abiria, umma hutangaziwa kuwa kinatafutwa Kisanduku Cheusi; je, hicho ni nini? Hakika hicho si sanduku la kawaida, ila ni kifaa cha ndege kinachofanana na sanduku, lakini pia kutokana...
  15. JamiiForums Tanzania Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

    UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh. Hali ikoje?
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Data centre: Kifo ninachoenda kuua benki za kigeni nchini

    Habari za muda, Naomba nichukue fursa hii niyaseme machache sana ambayo naona kama hayataangaliwa kwa kina kirefu kuna hatari sana ya Banks nyingi sana kufunga biashara zake hapa nchini. Nadhani kwa wale wanaofatilia, siku za nyuma Benki Kuu ilitoa maelekezo kwa Commercial Banks zote nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  19. JamiiForums Tanzania Tembelea JamiiForums bure (bila kifurushi) kwa kutumia Freebasics

    Tusitiane njaa, internet.org (Freebasics) ni huduma ya internet bure kwa nchi zinazoendelea, ilianzishwa na Mark Zugerberg (Mmiliki wa Fb), Mwaka 2013. Njoo hapa kwanza ili uelewe vizuri, Si unajua fb unaweza ukaingia bila bando? Voda, tigo na airtel kila siku wanatangaza, basi ujue yale ni...
  20. JamiiForums Tanzania We are the best service provider in;- Odk Collect Forms Design, Digital Mapping, Cartography, Spatial and Non Spatial Data Analysis and Training

    MAKULU HEAVE COMPANY {MHC} IS YOUR BEST SERVICE PROVIDER, CHEAP AND ACCESSIBLE FOR ALL INDIVIDUALS AND ORGANIZATIONS. MHC Provides the following services ;- ODK Collect Forms Design, Upload and Training to data collectors/researchers. Digital mapping and Cartography, Study Area Maps...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…