Tembelea JamiiForums bure (bila kifurushi) kwa kutumia Freebasics

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
6,661
20,995
Tusitiane njaa,

internet.org (Freebasics) ni huduma ya internet bure kwa nchi zinazoendelea, ilianzishwa na Mark Zugerberg (Mmiliki wa Fb), Mwaka 2013.

Njoo hapa kwanza ili uelewe vizuri, Si unajua fb unaweza ukaingia bila bando? Voda, tigo na airtel kila siku wanatangaza, basi ujue yale ni majigambo tu, wao wanatumika kama daraja, Mwenye kutoa free Mwenyewe n facebook hao voda, tigo na airtel wameingia ubia tu na Mark, na kwa hapa Tanzania nahisi ni hao tu, hao wengne mf halotel labda kama wamejiunga hv karbun, wao wananufaika kwa kua mitandao yao ya simu itatumika na inapata wateja weng lakn Mark nae ananufaika kwa kuifanya Fb izid kujulikana.

Hujawah kuona au kusikia mtu anatumia kisimu cha toch hakina hata internet ila analetewa msg ya fb kama text ya kawaida? Kama ulishawah basi hio nayo ni moja ya huduma ya freebasics, Huo ulikua mf wa fb,

Haya tuendelee sasa, Mark akatanua huduma kwa kuingia ubia na social networks kama hii Jf, BBC, Wikihow, wikipedia, Bing, Ask.com na nyingne baadh hasa zile zenye kutoa taarfa kwa jamii, mf afya, weather, usalama n.k, ili kufanikisha kufkisha huduma akaingia ubia na Makampun makubwa ya simu kama, Nokia, sony,samsung, Qualcom na MTK zote, iphone na blackberry hawamo, wanaamin mtumiaji wa simu hz bando haliwez kua shda kwake, vile vile akaingia ubia na browser kama opera, chrome na mozila kutoa hii huduma.

Hvyo basi, ili upate huduma ya freebasics kwanza lazma uwe mtumiaji wa Mitandao ya simu tajwa hapo juu, pili lazima uwe mtumiaji wa makampun ya cm tajwa hapo juu, tatu lazma uwe mtumiaji wa browser tajwa hapo juu, nne lazma uwe unatumia mitandao ya kijamii tajwa hapo juu, tano lazma uwe katka nch zinazoendelea, vgezo hv 90% tunavyo.

Basi kwa kufuata vgezo hvyo unachotakiwa kufanya n kutype www.freebasics.com na moja kwa moja watakuletea mitandao yote ya kijamii inayosupport freebasics na utaperuz bure kbsa, natumai kama ulikua unashndwa kuingia JamiiForums bila bando huu ndo utakua mwisho labda utafte sababu nyingine.

NOTE: hvyo vigezo vinaweza kupungua au kuongezeka kulinganga na mikataba au makubaliano respectively.

VIGEZO NA MASHART KUZINGATIWA
 
kwanza lazma uwe mtumiaji wa Mitandao ya cm tajwa hapo juu, pili lazima uwe mtumiaji wa makampun ya cm tajwa hapo juu,


Asante sana, nimekwenda huko nimekutana nayo

Free Basics by Facebook

Free Basics by Facebook provides people with access to useful services on their mobile phones in markets where internet access may be less affordable. The websites are available for free without data charges, and include content on things like news, employment, health, education and local information. By introducing people to the benefits of the internet through these websites, we hope to bring more people online and help improve their lives.
View where Free Basics is available
Mobile Operators
Over 85% of the world’s population lives in areas with existing cellular coverage, but mobile data is expensive and hard for people to justify when they haven’t experienced the benefits of the internet. By partnering with mobile operators, people experience the knowledge and inspiration that comes from access to basic websites, for free.
If you are a mobile operator, partner with us to connect the unconnected.
LEARN MORE


fbs-made-more-efficient-shot_01_06361-300x200.jpg


Platform
In collaboration with hundreds of developers, non-profits, and governments, Free Basics offers access to basic websites for local audiences. If you are a developer, non-profit, or government that aims to reach unconnected populations with your information and services, join the Free Basics Platform.


lakini naomba tofauti iliyopo kati ya "kwanza na pili" hapo juu
 
internet.org(Freebasics) ni huduma ya internet bure kwa nch zinazoendelea, ilianzishwa na Mark Zugerberg(Mmiliki wa Fb), Mwaka 2013.


Napata hofu hapa, kuna hatihati mamlaka fulani ika jump in hapa na kufungia hii huduma, si tumesikia kuwa wanataka umiliki wa line moja tu ya simu!?
 
kwanza Mfano Voda, tigo na airtel, pili mf nokia, samsung na tecno,

kwa lugha nyngne
kwanza= lain unayotumia hapo
Pili= simu unayotumia hapo.
Hope tunazungumza lugha moja sasa?
 
kwanza mf Voda , tigo na airtel, pili mf nokia, samsung na tecno,

kwa lugha nyngne
kwanza= lain unayotumia hapo
Pili= simu unayotumia hapo.
Hope tunazungumza lugha moja sasa?


Asante sana Mkuu nimekuelewa barabara!!!
 
ni lazima uwe memba wa FB? mbona nikizima data inagoma? au mpaka uishiwe kabisa?
Hlo nalo neno, yan n sawa unataka ununue cm ya promotion kutoka tigo halaf hutak kutumia lain ya tigo, maana fb ndo watoa ofa wenyewe na lengo n fb ipate watumiaj weng, vgezo vyote unavyo? Usije ukawa unatumia lain ya halotel mkuu , hemb jarb kutumia hio link niliyokupa direct au hakikisha ukiingia kwenye browser mfn opera unapata sehem ya kutayp hio link bla ku search google kwanza.

Vigezo na mashart kuzingatiwa
 
Hlo nalo neno, yan n sawa unataka ununue cm ya promotion kutoka tigo halaf hutak kutumia lain ya tigo, maana fb ndo watoa ofa wenyewe na lengo n fb ipate watumiaj weng, vgezo vyote unavyo? Usije ukawa unatumia lain ya halotel mkuu , hemb jarb kutumia hio link niliyokupa direct au hakikisha ukiingia kwenye browser mfn opera unapata sehem ya kutayp hio link bla ku search google kwanza.

Vigezo na mashart kuzingatiwa
Hahaaaaa, poa mkuu. Itabidi nijiunge Fb hicho ndiyo kigezo sina.
 
Back
Top Bottom