Darkness, the polar opposite of brightness, is understood as a lack of illumination or an absence of visible light.
Human vision is unable to distinguish color in conditions of either high brightness or very low brightness. In conditions with insufficient light levels, color perception ranges from achromatic to ultimately black.
The emotional response to darkness has generated metaphorical usages of the term in many cultures.
Referring to a time of day, complete darkness occurs when the Sun is more than 18° below the horizon, without the effects of twilight on the night sky.
DARK PSYCHOLOGY 🧠
1. Mtu akikuomba msamaha, usiseme “hakuna shida.”
Sema “Asante.”
Hapo anahisi kosa lake lina uzito… na mara nyingi hatolirudia.
2. Ukipiga miayo kisha mtu mwingine naye akapiga miayo…
ujue alikuwa anakutazama.
3. Ukiwa kwenye ugomvi, usitumie matusi. Muonyeshe ishara Dole...
The 2025 General Election in Tanzania has passed. The presidential candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Samia Suluhu Hassan, was declared the winner with 31 million votes, equivalent to about 98% of all votes that were said to have been cast, according to the Independent...
The 2025 General Election in Tanzania has passed. The presidential candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Samia Suluhu Hassan, was declared the winner with 31 million votes, equivalent to about 98% of all votes that were said to have been cast, according to the Independent...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani 98% ya Kura zote zilizodaiwa kupigwa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
INEC pia...
Gen Z walitaka uhuru wao kwenye kila jambo hususani kuchagua watu wao kwenye uchaguzi lkn serikali katili ikapitisha jina la mtu 1, na kufanya uchaguzi usio wa haki ufanyike,
Born town, current CEO ambae kwa sasa ni CEO kamili mwanae CEO na tajiri wa ki-asia mmiliki wa sehemu ya bahari...
Kuna siku unashangaa tuna lalamika mitandao ya pesa na sms inakuja ikidai ulichokisema basi hapa tulipofika hiii yote ni hawa wahuni.
Mtalalamika benki,mitandao ya simu na wale ponzi ila hawa wameshaamua nchi kuwa ya kwao hata muishi muwe kama somalia ya jangwa.
Kwa wale DMZ kuna Hattacker...
Ajali ya Juzi Mbeya iliyohusisha bus kuwagonga wanafunzi waliokuwa wanakimbia barabarani imeondoa vijana wetu 6 na wengine majeruhi. Ajali hii imetokea alfajiri tarehe 26.07.2025
Ajali kama hii ilitokea Mtwara ilihusisha school Bus kuingia mtaroni na kusababisha wanafunzi 8 kufariki na mwalimu...
Fake friends are like shadows
They walk beside you in the light 💡
They smile when you shine
They praise when you are rising.
But when darkness falls they vanish
When you stamble they stay silent
When you need support they disappear.
Real friendship isn't proven by presence in your good times...
Kwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe.
Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo na salama na familia zao kwa nini tusitumie dark web kununua hitman na wengine mpaka wanaweka CV...
Dark Earth Carbon on behalf of Masika Venture, is seeking a Graphic Designer & Social Media Marketer
Job Location: Dar es Salaaam
Short Brief of the Company:
Masika Ventures is an umbrella organization that encompasses the business services functions of our companies including Upendo Honey...
Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)
Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa...
Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki.
Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya:
"Because...
Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha...
Niseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok.
Mwonekano wake anaonekana kama mtu mkatili. Kuanzia kuvaa, na sura...
Niko Mbeya, nimekuja kutembea mara moja, baada ya kuzisikia sifa nyingi sana za mkoa na jiji hili la Mbeya.
Daima huwa na utamaduni wa kufanya matembezi ya miguu ili niweze kuujua mji vizuri, haswa nikiwa mgeni katika mji huo.
Mbeya ni jiji lililojaa vumbi, barabara za lami ni chache sana...
There was once a king so cruel, he taxed his people unfairly and threw anyone who disagreed with him in jail. His subjects wished he would disappear! Then one day he surprised them all. "No more cruelty! No more injustice!" he promised. And he kept his word. The people started calling him The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.