darasa la saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

    Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi. Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
  2. M

    Mfumo wa utiaji na usahihishaji Mtihani wa darasa la Saba ubadilishwe

    Mfumo wa utoaji na usahihishaji Mtihani wa darasa la Saba ubadirishwe Ndugu Wanabodi, nimeangalia na kusikia kuhusu kiongozi alietangaza kusitishwa masomo Ili kupisha KKK. Mwalimu ameshaandaa mpango kazi, scheme of work, lesson notes n.k anaambiwa asitishe. Mimi mwalimu wa sekondari nahusikaje...
  3. Hemedy Jr Junior

    Wananchi wa darasa la saba ndo wanaonekana wako na akili kuzidi hawa wenye degree, nini tatizo?

    Naomba kufahamu au ndio kauli ya Kishimba (Wasomi wengi wanajua kusoma na kuandika ila hawako na Maarifa) Mwananchi wa darasa la saba yupo kijijini analima mpunga, mahindi na kufuga ng"ombe na maisha yanaenda. Huyu mwenye degree yupo anaishi Masaki kila siku anapiga simu home bado natafuta...
  4. McCollum

    Wazazi/ Walezi pambaneni na wahitimu wa darasa la saba, kwa bahati mbaya wengi wanauelewa usioridhisha

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako kidato cha kwanza. Sitawazungumzia hao waliopita kwakuwa sina uzoefu nao, ila nataka kuwazungumzia hawa...
  5. R

    Waliofutiwa matokeo darasa la saba wafaulu kwa kishindo

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), limesema wanafunzi 2,095 kati ya 2,180 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba uliofanyika kati ya Desemba 21 na 22 mwaka 2022 wamefaulu daraja A hadi C sawa na asilimia 96.1. Limesema wanafunzi hao kati ya 2,194 waliofutiwa matokeo...
  6. G

    Unaweza kurudia darasa la saba endapo ukifeli kwa miaka hii?

    Habari wana JF Kuna mtoto wa dada yangu anauwezo mkubwa sana ila amesoma katika mazingira magumu sana ya kijijini lakini hajafanikiwa kufaulu vizuri. Huku tukiendelea kusubiri selection nafikiria nimchukue aje arudie darasa la saba huku mjini ili aendelee na secondari. Lakini kutokana na...
  7. Page 94

    Waliofutiwa Matokeo Darasa la Saba kurudia Mitihani Desemba 21-22

    Baraza la Mitihani NECTA ilizifutia matokeo shule kadhaa baada ya kubainika kufanyika kwa Udanganyifu kwenye mitihani ya Darasa la Saba iliyofanyika September 2021. Na kwa kuwa Wanafunzi hawahusiki na udanganyifu huo, wana haki ya kurudia mitihani yao ili kutoathiri maendeleo yao ya Kitaaluma...
  8. GENTAMYCINE

    Nikipewa Kusahihisha Mitihani ya Wanafunzi wa Darasa la Saba nchini Watakaofaulu ni Wawili tu Wengine Watafeli tu

    Kwa jinsi Wanafunzi wa Shule za Msingi ( hasa Darasa la Saba ) walivyo na Nidhamu mbaya katika Jamii zetu huku Wengi wao wakiwa hawana Akili Vichwani huwa nashangaa kuona kila mwaka katika Kutangazwa kwa Matokeo yao Kitaifa Wanaofaulu ni Wote / 99.9% Duniani kote haiwezekani sehemu ambayo...
  9. S

    Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

    Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule. Naombeni...
  10. AbuuMaryam

    Matokeo ya darasa la saba yametoka, halafu?

    What has it to do for the life of that pupil? Ufaulu umepanda umeshuka sijui... Wamefaulu kwa daraja sijui A, B, C, then what? Ufaulu huu unamsaidiaje mtoto huyu kuweza kumudu mazingira yake na maisha na wazazi wake? Na mizazi mingine iliyokosa akili... Wakati mitoto imemaliza kusoma ujinga...
  11. BARD AI

    Matokeo ya Darasa la Saba 2022 yametoka rasmi

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2022. Matokeo yanaonesha watahiniwa zaidi ya Milioni 1.07 kati ya Milioni 1.34 waliofanya Mtihani ambayo sawa na asilimia 79.62 wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C. Bonyeza hapa kuona matokeo darasa la saba...
  12. Mstahiki Mea

    Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo 1/12/2022

    BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo hayo katika tovuti za NECTA na tovuti nyingine mtandaoni. ======== Baraza la mitihani Tanzania...
  13. BakalemwaTz

    Matokeo ya darasa la saba 2022 yanatoka lini?

    Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2022. Darasa la saba walifanya mtihani wao tarehe 5 na 6 mwezi octoba. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwezi october kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa...
  14. T

    Matokeo ya darasa la saba 2022 yametoka?

    Mambo vipi humu jukwaani natumaini mko poa wote, Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado? Maana nimeingia ukurasa wa Necta balaza la mitihani hakuna kitu sana sana nimekuta ya 2019,2020,2021 basi, je yatakuwa bado,
  15. Z

    Bunge lijadili suala la Sera inayopendekeza Elimu ya Msingi kuishia Darasa la Saba

    Hivi karibuni Wizara ya Elimu ilipendekeza Sera mpya ya Elimu ya Msingi kuwa; iishie darasa la sita. Sasa tunaliomba Bunge letu lijadili Sera hiyo muhimu sana kwa Elimu yetu ya msingi, ili kama inapitishwa basi ianze kutumika mara moja. Wananchi wamekubaliana na mapendekezo hayo, jambo...
  16. BARD AI

    Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  17. JanguKamaJangu

    Wazazi wawatishia watoto kifo endapo watafaulu mitihani ya Darasa la Saba

    Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia. Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
  18. R

    Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  19. mens12

    Kitu gani huwezi kusahau siku ambayo ulikua unafanya mtihani wa Darasa la Saba? Ndani na nje ya chumba cha mtihani

    Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka. Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
  20. Checnoris

    Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

    Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
Back
Top Bottom