Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC.
Kwa ushindi wa leo, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atangaza.
Feldman alipotea pamoja na Sgt. Darasa la Kwanza Yehuda Katz na Sgt. Darasa la...
Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
Nasemaje...?
Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani
Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga!
Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
Daraja la Milala Shongo lililopo Kijiji cha Milala, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni tatizo sana kwetu Wananchi wa Milala.
Sisi wakazi wa Milala tatizo hili limetuchosha kwa sababu limedumu kwa muda muda mrefu sana na kuwa kikwazo cha mawasiliano na kufanya shughuli zetu za kiuchumi...
Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union.
Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 27 ikipata ushindi kwenye mechi 3 sare 7 na vipigo 17
Kimahesabu...
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya...
Mkoa wa Mwanza unajenga madaraja makubwa mawili hapo mjini kati. Tenda kapewa Nyanza Construction Company. Kampuni ya hovyo kabisa ya kizawa ambayo pia ilijenga sehemu ya barabara ya Mwanza-Shinyanga ambayo tangu inakamilika ilikuwa takataka
Madaraja hayo yamewashinda kiasi kwamba yamekuwa kero...
Joseph Lazaro, beki wa zamani wa kushoto wa Coastal Union akiwa msaidizi wa marehemu Douglas Mhani enzi zile za marehemu Hamis Makene, benchi akiwa Mohamed Mwameja, kulia Saidi Kolongo, kushoto Douglas Mhani, nne Yassin Abuu Napili na sentahafu marehemu Idrisa Ngulungu, sita pale alikuwa...
“Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi kukutana nao huyu tunamuweza kabisa na hii tunaweza kufuzu.”
“Sifa ya Simba, sifa ya Mwanasimba sio...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema njia ya muda (diversion) katika eneo la daraja la Kinyerezi sasa inaruhusu waenda kwa miguu, waendesha pikipiki na bajaji kupita, huku magari makubwa yakisubiri mpaka ujenzi ukamilike ndani ya siku mbili au...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida.
Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.
Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), wahakikishe daraja hilo linakamilika kwa wakati ili kukuza fursa za uwekezaji katika ushoroba wa...
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).
Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.