daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Manzese kujengwe Daraja lingine la waenda kwa miguu

    Hakuna kitu kinakera kama foleni ya Manzese! Yaani unakaa foleni ili kupisha watu wavuke kwa mamia!!? Mambo ya kizamani sana haya. Tunacheleweshana tu katika maendeleo. Mamlaka husika waliangalie hili. Tunaonekana wote ni wajinga kwa kukosa weledi wa kutatua changamoto iliyowazi kabisa.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ghati Zephania Chomete ashiriki uzinduzi wa daraja la mto Mori & Wamaya

    Mbunge wa Viti Maalum kutokea Mkoa wa Mara Ghati Zephania Chomete tarehe 01 Machi 2023 ameshiriki Mkutano wa Uzinduzi wa Daraja la Mto Mori & Wamaya Katika Kata ya Kirogo Wilayani Rorya Mkoani Mara. Madaraja hayo yamegharimu zaidi ya Shilingi za kitanzania Bilioni 1.5. Ikumbukwe kuwa katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatuibia Watanzania chini ya uongozi wa Rais Samia. Hili daraja ni Bil 7?

    Jamani acheni kula Tozo zetu
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Traffic maeneo ya Bomang’ombe kuelekea Daraja la Kikavu wanavuna hela bila uoga

    Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake. Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu. Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China. Ukifika...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Gwambina: Bodi ya Ligi walikuwa wanataka pesa kwa nguvu, usipotoa lazima ushuke daraja

    "Ligi ilikuwa ngumu kwa sababu ilipaswa tushuke na ikiwezekana tupotee kabisa Duniani, Viongozi wa Bodi ya Ligi walikuwa wanahitaji sana hela hata tulivyokuwa ligi kuu nasikitika kuongea haya lakini hakuna namna , huku chini kuna uozo kuna watu pale Bodi ya ligi wameukamata huu mpira kama mali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo utekelezaji ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019. Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
  7. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
  8. Wakacha

    JamiiForums Tanzania Afisa Tawala ana wajibu gani?

    Habari, Je, kazi au wajibu wa AFISA TAWALA DARAJA LA II ni upi? Msaada
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa, Tunaotarajia kufanya usaili wa kuandika kada ya MTAKWIMU DARAJA LA PILI, mwajiri MDA's & LGA's.

    Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu. Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
  10. Rango_snake

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya usaili kwa kada ya Afisa Mazingira daraja la pili

    Naomba kwa anaefahamu mfano wa maswali ya kwenye usaili kada ya afisa mazingira daraja la pili.
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi waomba kujengewa daraja

    Wananchi wa kata ya sinoni na Themi katika halmashauri ya jiji la Arusha, wameiomba serikali kuwajengea daraja linalounganisha Kata ya Themi na Sinoni kutokana na Kuwa ni miaka zaidi ya mitano sasa imepita tangu kuvunjika kwa daraja la awali lilokuwepo. Wakazi hao Wamekuwa wakipata shida...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania TANROADS DSM: Tahadhari, stayed cables daraja la watembea kwa miguu kituo cha Bondeni barabara ya Bagamoyo zimelegea

    TANROADS DSM chukueni tahadhari, hasa idara yenu ya ukaguzi na maintainance Daraja la waenda kwa miguu, cables ziko loose. Kwa wanaohua mode of failure, cable ambazo ziko tight zaweza kukstika hivyo daraja kucollapse.
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Biriani na pilau wako ligi mbili tofauti, pilau yuko ligi kuu biriani anacheza daraja la nne

    Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti. Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
  16. thetallest

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Berega wafikia asilimia 68 kukamilika

    UJENZI WA DARAJA LA BEREGA WAFIKIA ASILIMIA 68 KUKAMILIKA Na. Geofrey A. Kazaula, Morogoro. Ujenzi wa Daraja la Berega katika barabara ya Berega-Dumbalume Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umefikia asilimia...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigongo-Busisi laelekea kukamilika

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

    Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960. Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii? Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31. HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI? Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
  20. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Kula kwa urefu wa kamba yako,hili daraja limejengwa kwa billion 31

    Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania. Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
Back
Top Bottom