Kula kwa urefu wa kamba yako,hili daraja limejengwa kwa billion 31

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,445
Screenshot_20221216-202824.png

Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania.
Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
 
Missenyi na biharamulo ni kilometa 200 far away ,kama ni hivyo ni sawa,
Angalia source yako vizuri,nafahamu jiografia ya huo mkoa,hizo wilaya mbili hazijapakana
 
Mkuu hii inasaidia nini? Nchi ina Mazezeta wengi na swagwa kama hizi zako ndio zinafanya waendeleee kupiga pesa kwa kuona ni kiwango gani watu hawako Serious
Itafsiri kwa tafakuri utaona maumivu yake.. Sema tu hujaelewa ... Ni hivi

Pesa nyingi za miradi hazitokani na pesa za ndani bali ni misaada na mikopo .. Sasa tangu pesa inaingia kwenye kibubu cha nchi ni magawiano tangu juu mpaka chini kabisa kulingana na hadhi umuhimu na nafasi ya mhusika ... Hali mmoja ni chain ndio maana hupenda kuyaeleza haya kupitia hii gif
giphy.gif
 
Back
Top Bottom