dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
  3. JamiiForums Tanzania Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na wadau Dar wakutana katika kikao maalum cha udhibiti kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kikao na wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Katika kikao hicho cha Mei 17, 2023 NEMC ilishirikisha wajumbe kutoka Wizara ya Afya, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam watu tupo busy pia tupo stressed sana. Kilichofanyika ni ishara ya kutujali

    Inafahamika vyema, Dar es salaam ni miongoni mwa miji yenye hekaheka sana hapa Afrika. Kila wakati, watu tunajihisi tupo nyuma ya muda au tunadaiwa kitu, hivyo kutupelejea kila wakati tuwe mbiombio. Dar mambo ni mengi lakini kinachofanyika hakionekani, pia faida haionekani. Kwa kifupi tupo...
  5. JamiiForums Tanzania Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  6. JamiiForums Tanzania Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

    Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba. Halima mpaka leo ni single na hana...
  7. JamiiForums Tanzania Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Idara ya usalama Mkoa wa Dar es Salaam ibadilishwe kwa kushindwa kuiona move ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na kutoa taarifa mapema

    Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa...
  9. JamiiForums Tanzania DAWASCO na maji yenye tope Dar es Salaam

    Muda so baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam ukifungua maji ya DAWASCO asubuhi unakutana na tope zito. Maji haya machafu hayafai kwa lolote, hivyo mtu unamwaga mpaka lita mia moja unayolipia ndio upate masafi. Kusafisha na kutibu maji kwa kutumia Aluminium sulphate na chlorine siku hizi za...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Yusuf Makamba aliongoza Dar es Salaam, Chalamila hawezi kushindwa

    Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu. Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila? Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

    Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
  13. JamiiForums Tanzania Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar. Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia. Mitume...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

    Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo. Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana . Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa...
  15. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

    Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
  17. JamiiForums Tanzania Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

    Kwakuwa mnalalamika sana, Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna nini kinachowamaliza wanaume?

    Dar kuna nini lakini mbona wanaume wanaukimbia uanaume wao sana sana wakiwa Dar? mbona nasikia kuna mzunguko mkubwa sana wa Hela, sasa inakuwaje tena wasihangaike kutafuta?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

    Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…