dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kubeti kwatajwa kuwa chanzo cha mauaji ya mwanamke Dar

    Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi). Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
  2. JamiiForums Tanzania Nimekuja kula iddi dar ila nilichokutanacho..

    Kama kichwa kinavyojieleza. Nimetoka kote arusha ili nije kula iddi dar . Ila tanesco wamezingua luku hazinunuliki kabisa,kwanini siku ya sikuku ndo mnafanyia watu hivi?? Ngoja nikapige bia zangu kitambaa cheupe,kama kuna mtu anataka bia za bure anakaribishwa.. Muwe 50 hata 100 mnakunywq mpaka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  4. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa taasisi ya Confucius katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania wajifunza utamaduni wa sikukuu ya Duanwu

    Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu. Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: NEMC na Chuo cha Polisi kushirikiana kuyalinda na kuyatunza mazingira

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) limekutana na Chuo cha Polisi Kurasini kujadiliana kuhusu elimu ya masuala ya Mazingira kwa wanafunzi wao na namna ya kushirikiana nao katika utekelezaji wa majukumu baina ya taasisi hizi (NEMC na Chuo cha Polisi) ili kuendelea...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada shule nzuri ya High school iliyoko Dar au Pwani yenye karo nafuu comb ya GBG

    Wakuu hamjambo? Kijana wangu kamaliza kidato cha nne 2022, ufaulu wake ni C. C. C ktk comb ya CBG. Natafuta shule yenye unafuu wa karo iliyopo hapa Dar au Pwani. Ukinijuza shule na karo yake utakuwa imenisaidia sana. Shukran.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya vipindi vya upepo mkali na mawimbi makubwa Dar, Ukanda wa Pwani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa taarifa hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 kuwa kutakuwa na vipindi vya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika Pwani ya Bahari hindi na kutoa angalizo kwa watu kuchukua tahadhari. “Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzanzania inatoa angalizo la vipindi...
  8. JamiiForums Tanzania Nauliza lift up kit Kama hizi huuzwa wapi hapa Dar? Vp bei zake

  9. K

    JamiiForums Tanzania Cashier Anahitajika Dar es Salaam

    Description To work as a cashier Minimum Education O-Level QUALIFICATION: Minimum NBAA DIPLOMA IN ACCOUNTS Send your CV and application letter to: teseandtecho@gmail.com Deadline; 10 JULY 2023
  10. JamiiForums Tanzania Liwapi duka la manukato (perfumes) halisi hapa Dar?

    Ndugu watanashati, Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000). Tafadhali, ninaomba kujuzwa. Nimechoka marashi fake!
  11. JamiiForums Tanzania Liwapi duka la manukato (perfumes) halisi hapa Dar?

    Ndugu watanashati, Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000). Tafadhali, ninaomba kujuzwa. Nimechoka marashi fake!
  12. JamiiForums Tanzania Wadada wa Dar mpo vizuri katika updates za hali ya hewa

    Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 , Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu nyepesi kwa makusudi alafu unakuta ndani vichupi tu no skin tight, ni mimi tu sijui nawaona huku mjini...
  13. JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (Sabasaba)

    TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (sabasaba) Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini wa viti, meza na vizimba 170 vya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitafute mwekezaji awasaidie kuprinti vyeti vya wahitimu

    Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mtei Express Babati - Dar mna huduma mbovu sana zisizoendana na nauli

    Hili basi lilipoanza huduma ya Luxury mara ya kwanza lilikuwa vizuri ila kadri siku zilivyoenda huduma zimegeuka kuwa za hovyo sijui tatizo ni nini, Usimamizi mbovu no customer care at all imagine na hii ni Luxury na imeidhinishwa kama gari la level ya Luxury na wanatambulika LATRA kama Luxury...
  17. JamiiForums Tanzania Dar kuna mlipuko wa Malaria Kali?

    Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi. Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa nini NSSSF isichue bandari ya Dar es Salaam?

    Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biashara muhimu ya bandari ya Dar es Salaam? Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi. Hata sisi tunaweza, kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF, wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
  19. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

    SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati yake na Kampuni ya Dubai Port World (DP World). Ushauri huo umetolewa leo tarehe 19 Juni 2023, katika mjadala wa kulinda na...
  20. JamiiForums Tanzania Wenye nongwa na madukuduku mmekaribishwa na mkuu wa mkoa, Dar es Salaam kujadili mkataba wa Bandari

    Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe. Nashukuru mama Samia kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…