dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  2. LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  3. B

    Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  4. Simba 'Yafa Kiume' huko Lindi. Kupokelewa kishujaa Dar es salaam

    Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lindi. Magoli hayo yaliyofungwa na Baleke kwa upande wa Simba na Kabunda kwa upande wa...
  5. 0

    Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  6. H

    Anayefanya kazi halmashauri yoyote Dar es Salaam anisaidie kupata nafasi ya kujitolea

    Hi, Naomba msaada anaefanya kazi halmashauri yoyote hapa dar anae weza nisaidia nikapata nafasi ya kazi yaani kujitolea nijishikize tu. Nimechoka haya maisha hamuwezi amini najua ila ukweli ni kwamba nimechoka sana natamani nipate msaada wowote akili imekuwa domat unakuwa na jambo unataka...
  7. Bei ya Petroli na Dizeli yaongezeka Dar es Salaam

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Mei 3, 2023 huku bei ya mafuta ya petrol na dizeli zikipaa kwa yale yanayoingia kupitia bandari ya Dar es Salaam ikilinganishwa na Aprili. Katika taarifa hiyo iliyotolewa...
  8. P

    Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

    Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
  9. Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers. Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam. Nauli yao...
  10. B

    Usafiri wa Dar to Korogwe

    Habari wakuu, Nina dharura nahitajika Korogwe, upi ni usafiri mzuri Dar to Korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi? Asanteni
  11. F

    Kujenga daraja kuunganisha Dar es Salaam na Unguja ni upotevu wa fedha za maskini. Tuachane na mpango huu!

    Dar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?! Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat...
  12. Hali ya Soko la Vyakula Ilala, Dar es salaam ni mbaya, watu hawajali uwepo Kipindupindu wanauza bidhaa mitaroni

    Licha ya Serikali kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Wilaya ya Ilala, bado hali ya Masoko ya Vyakula ni mbaya kwenye suala la Usafi kutokana na miundombinu mibovu ikiweko kukosekana mifereji ya kupitisha Maji Machafu, Uhaba wa Vizimba unaosababisha Wafanyabiashara kupanga...
  13. Kwa wale wa Dar es Salaam nitajie Ukumbi usio na Yanga wengi Kesho nije tuiangalie Simba yetu pamoja

    Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa. Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90%...
  14. Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
  15. Jiji la Dar us Salaama (Dar es Salaam) Tanzania kabla na baada ya mwaka 1868

    Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila mji ulijitegemea, huku idadi ya wakazi wake wote kwa jumla haikuzidi watu 2,000. Kati ya miji hiyo...
  16. Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  17. Soko la Mbagala sasa liko safi na linafikika kwa urahisi. Masoko machafu yote yabomolewe na kujengwa upya

    Habari! Mwaka jana kabla soko la Mbagala kuungua moto niliingia sokoni ili nipate mahitaji muhimu . Lile soko lilikuwa chafu na wakati wa mvua linatoa harufu mbaya sana. Njia za kuingilia na kutokea hazijulukani. Bidhaa ziko hovyohovyo. Huwezi kuingia mara mbili kama hujazoea uchafu. Jana...
  18. B

    Dar: Baba adaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu

    Dar: Karim Shabani mwenyeji wa Chanika jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwapa sumu aliyoiweka kwenye juisi, baada ya kutuhumu mtoto wa mwisho aliyezaliwa na mkewe sio wake na hafanani naye. Juma Mohammed ambaye ni msemaji wa familia ya marehemu, amesema Karim...
  19. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  20. M

    Dar es Salaam ni jiji lililojaa uchawi na husda

    Njia panda kila siku wanavunja nazi. Watu wanafuga majini na kurogana kila kona. Jiji limejaa husda na hii sababu wana maisha magumu. Uchawi upo kila mahala ila Dar umezidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…