dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

    Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dar es salaam ilianza kama madrasa

    Miongoni mwa urithi muhimu kutoka kwa waislamu https://www.youtube.com/watch?v=h5N76AzNRYQ
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga (Dar) wanaenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia kama mbadala wa dawati

    Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia. Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
  4. JamiiForums Tanzania Ewura yatangaza bei za mafuta mwezi Aprili, Dar Petroli yapanda hadi 3,037

    Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura). Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa Piano Dar es Salaam

    Habari ya uzima, wandugu, Nina uhitaji wa fundi mzuri wa piano , kwa yeyote ambaye anafahamu fundi mzuri wa piano popote pale Dar es salaam , tafadhali naomba nielekeze anapopatikana na kushare pia mawasiliano yake. Asante kwa ushirikiano.
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenda Dar ndio safari fupi zaidi ya Ndege , kwa dakika 16 tu

    Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways. Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

    Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam sababu ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam ili watu wasambae kujenga...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yafungua rasmi Mnada mwenge Dar es salaam

    Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi. Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wa kisasa wa Kiafrika!

    Katika jamii ya sasa, vijana wengi wanakosa mwelekeo na thamani, na hili linaweza kuathiri jamii nzima. Kama kizazi hiki hakitapewa uangalizi na mwongozo, tunaweza kujikuta na kizazi kilichopoteza mwelekeo, hata kabla ya kufika kaburini. Vijana wanavua ndoto kwa kubeti, wakitegemea bahati...
  12. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wananchi 100 wa Mitamba - Kibaha waliobomolewa makazi yao wafika Mahakamani Kuu (Dar) kusikiliza hatma ya kesi

    Zaidi ya wananchi 100 kwa niaba ya wenzao kutoka Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani wamefika katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Aridhi wakiambata na Wakili pamoja na baadhi ya viongozi wao kusikiliza shauri lao, ambapo wananchi takribani 3000 wanadai kuchukuliwa ardhi yao na...
  13. JamiiForums Tanzania Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  14. JamiiForums Tanzania Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Serikali iamue moja; nauli ya Mwendokasi iwe Tsh. 700 kamili au 800

    Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya namna hii? Kama hawana uwezo wa kuwa na hizo chenji za Tshs 50 waondoe hiyo Tshs 50. Najiuliza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  17. JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia nunua magari haraka kusaidia wanafunzi jiji la dar es salaa

    Hivi hii kalaa ya watoto kuamka ndani saa9 na kurudi nyumbani saa 4 usiku serikali haioni aibu? Katika majiji yote makubwa hasa Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya watoto wanateseka Sana! Watoto wananyanyaswa San Watoto wa kike kushikwa shikwa kwenye magari ya umma, kudharirishwa, kunyanyaswa na...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Kamanda wa Polisi Dar, SACP Jumanne Muliro aandaa Iftar kujenga umoja na mshikamano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…