dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimeichukia sana Dar

    Dar nilipaona pazuri sana. Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar. Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu. Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja. Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota...
  2. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani

    Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi 1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari 2. Unafika kwako saa nne usiku na kuendelea sababu ya changamoto za usafiri 3. Kipato chako kinaishia kwenye kodi na usafiri 4. Unaishi...
  3. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

    Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii.. Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
  4. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata list ya watoa huduma Fiber Dar es Salaam

    Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

    Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Watu wa mikoani tukienda Dar tunang'ara ndani ya muda mfupi,tukirudi makwetu tunapauka

    Kuna dada wa kazi alienda huko daslam baada ya mwezi akarudi baada ya kupata msiba,siku anarudi ngozi kama mzungu.alikaa kuomboleza kwa wiki mblIi akafubaa tena. Wenzetuhuko daslam maji yenu ya kuoga munawekaga nini Nimemtaja huyo binti lakini mifano ninayo mingi tu
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  8. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Habari?Nahitaji raba hizi pichani,mwenye kujua chimbo zinapopatikana anijulishe vinapopatikana.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA mgao, umeme mgao mtatuua Dar jamani

    Na hili jua huku unapigwa mgao wa maji wiki nzima , ukirudi japo uwashe feni unapigwa mgao wa umeme basi unakaa kama mbuzi mwenye kiu ukibweka huku ulimi nje ......mtatuua jamani ..... achilieni hata maji tu
  11. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kupewa maelekezo ya kuingiza gari bandari ya Dar kutoka Zanzibar

    Naitaji agent atakaenitolea gari langu bandarini linatoka znz plz naomba msaada,nilishalipia ushuru wote ninalohitaji mtu aniambie nimpe bei gani ili gari nilipate nilikiwa limepatiwa usajili na plate number kabisa
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna 'Upuuzi' gani unaendelea Dar es Salaam leo?

    Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
  13. Nsombas

    JamiiForums Tanzania Ninaombeni connection ya kazi - Dar

    Habarini Wakuu. Nipo mbele yenu ninaomba kuunganishwa na kazi ili mradi nipate kipato changu halali. Nitaeleza kilichonikuta kwa ufupi. Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Usimamizi Wanyamapori (bado sijaajiriwa huu ukiwa mwaka wa 9). Nina familia ya watoto wawili ingawa kwa sasa ninaishi na mmoja...
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Naitamani Dar es Salaam ya namna hii

    👉🏾Dar es Salaam, jiji lenye giza na mwanga, limejaa ndoto na fursa zisizoisha. Lakini ni ndoto gani zinazozungumzwa na watu wanaoshindwa kutimiza malengo yao? Jiji hili linapokuja kwenye mandhari ya kibiashara na utamaduni, linatoa picha ya maendeleo, lakini je, kila pembe ya mji inavyoonekana...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

    Mkoa umebarikiwa kila kitu Sijui wagosi wanafeli wapi
  16. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Survey: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  17. Mr Ballo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  18. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CAREER GROWTH OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM

    📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢 FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience. Qualifications: ✔ Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
  19. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CAREER GROWTH OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM

    📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢 FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience. Qualifications: ✔ Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
  20. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Bunju: 4 Bedrooms House Inauzwa - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Survey: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
Back
Top Bottom