dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  2. JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaofanya kazi dodoma mna famliaa dar mnaishjje???

    BINAFSI HALI SIO NZURI KUNA WATU WANATESEKA SANA NA FAMILIA M ZIPO NDOA NYINGI SANA ZIKO IC7 SABABU YA DISTANCE MUNGU TUSAIDIE
  4. JamiiForums Tanzania House4Rent Modern Villas for Rent Near Stanbic Bank Head Office, Dar es Salaam

    These beautiful villas are ideally located near the Stanbic Bank Head Office, offering an unbeatable combination of convenience, comfort, and tranquility. The neighborhood is peaceful, family-friendly, and just a short drive to the city center and peninsula areas. Perfect for couples, business...
  5. JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kozi ya maabara vyuo vya Dar

    Wadau natafuta chuo kwaajili ya ku upgrade taalamu ya ndugu yangu kutoka certificate kwenda diploma Naomba kwaanayefahamu chuo chochite cha peivate kiwe Daresalaam. Natanguliza shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania HAPA KITU TUMEITOA KAMA TULIVODESIGN ,3BEDROOMS ALL SELF KARIBU UJENGE NASI +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM

  8. JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Sokoine drive Dar es salaam

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 1.5B. For more...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi wa kuuza bidhaa barabarani kwenye foleni Dar

    Habari wana JF natafuta vijana wa kuuza bidhaa kwenye foleni za Dar kwa aliye tayari anicheki kwa 0626333300
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  12. JamiiForums Tanzania Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena Mungu atusaidie sisi wapambanaji
  13. JamiiForums Tanzania Fuso/Lori DAR kwenda Tanga

    Wakuu, Kuna jamaa yangu ana mzigo wake unaohitaji kubebwa na lori leo au kesho. Mzigo upo Chalinze. Mwenye connection ya malori ya kwenda Tanga mjini naomba msaada wa namba. Pesa ipo mfuko wa shati. Asanteni wote.
  14. JamiiForums Tanzania Battle la singeli: Morogoro vs Dar na Malima vs Chalamila

    Hili ndio battle la Singeli lipo viral kwa sasa. Nani ameicheza vizuri? Origin ya Singeli ni mkoa upi?
  15. JamiiForums Tanzania Watu wawili Mbaroni kwa wizi wa Tsh. milioni 105 Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025. Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
  16. JamiiForums Tanzania Accountant mwenye CPA, Aliyepo Dar anahitajika

    Habari zenu Wakuu, Accountant mwenye CPA anahitajika, Usahili ni Jumatatu tar 11 August 2025. Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
  17. JamiiForums Tanzania Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

    Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi. Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…