dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
  2. Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  3. Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la. Ngoja tuendelee kutega sikio
  4. U

    Ikulu Dar es Salaam: Rais Samia akutana na Raila Odinga

    Ikulu ya Magogoni leo Mchana Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
  5. Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

    Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani. Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
  6. Ni lipi basi zuri la Dar - Mwanza?

    Ni basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine. Mana kuna yale mabasi ambayo ukitoka hapa Dar saa 12 asubuhi Mwanza unafika kuanzia saa saba usiku sasa haya mabasi hapana...
  7. M

    Nahita Frame ya Duka

    Wadau Salaam! Inaitajika Frame ya kuweka duka la vitu vya ndani (chakula na groceries) kwa jumla na lejareja, liwepo sehemu yoyote Dar yenye mkusanyiko na mzunguko mkubwa wa watu. Mwenye tarrifa naomba ani DM. Shukurani!
  8. Nairobi ipo ligi yake. Dar bado sana.

    Tazameni jinsi Naironi inazidi kukua kwa kasi. Majengo ya aina ya apartments yanazidi kuchipuka kila siku. Tazama hii high density cluster ya apartments ambayo haiwezi kupatikana huko kwenye nchi ya malazy.
  9. Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

    Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua. Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka? Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
  10. Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  11. A

    Raha za kuishi Dar es Salaam

    Dar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani. Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case. Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki...
  12. Counselling Psychology course in Dar

    Habari ndugu, Samahani naomba kwa anayefahamu ni chuo gani kilichopo DAR kinatoa course ya Counseling au Counselling psychology kwenye level ya post graduate. Natanguliza shukurani. Regards Aqua
  13. Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
  14. T

    Basi gani zuri luxury Arusha Dar

    Habari wandugu. Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari. Ahsante.
  15. T

    Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

    Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi. hii sio kweri kabisa...
  16. Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  17. Hivi Wazee Wanaenda wapi hapa Dar es Salaam

    Wasalaamu wakuu. Kuna uwezekano mkubwa ya kuwa wanaume tunapotea mapema sana hasa kwenye hili jiji. Yaani June nilienda kijijini nimekutana na wazee wa miaka hiyo bado wanakula nchi. Lakini hapa Dar unaweza kaa mwaka usikutane na hata na mzee mmoja. La pili, nimekumbuka ile hafla ya makonda...
  18. Msaada wa Usafiri wa Kutoka Dar kwenda Dodoma

    Habarini wapendwa poleni na majum. nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada. Mimi ni operator wa heavy machine. Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia. OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA...
  19. Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

    Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?
  20. INAUZWA Azam TV Decorder full set, iko Kiwalani-Dar

    Azam full set Decoder na dish na kifurushi cha mwezi Bei: 170k Kiwalani, Dar. Call 0683011003
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…