Nachelea kusema hii ndo timu inayokwenda kushiriki michuano ya kimataifa na trh 13 inavaana na Asec mimosas, kwa namna Simba inavyocheza kwa sasa inatia huruma kwakweli, aieleweki wanacheza mfumo gani.
Leo wanachezesha kikosi hiki kesho wanachezesha kikosi kingine kwa mfumo huo utapataje first...