Picha hii kwangu inanikumbusha miaka yangu ya mwanzo udogoni naanza kujitambua na kuingia kwenye duka la vitabu kununua vitabu.
Nimenunua vitabu vingi duka hili kuanzia mwaka wa 1963 nikiwa na umri wa miaka 11.
Safari ya kutoka nyumbani kuja "Picha ya Bismini," (Askari Monument) ilikuwa safari...