dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  2. Kuhusu wapi naweza kupima kipimo cha PCR jijini Dar?

    Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi. asanteni sana
  3. K

    Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14

    Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
  4. N

    Kumbukumbu za Majumba ya Sinema Jijini Dar es Salaam

    Nimeona uzi hapa JF ukisifia Jumba la Senema la Empire la siku hizo, nikaona nikumbushie (na kuwajuza uzao wa dot.com) majumba ya senema yaliyokuwepo Dar enzi hizo. Miaka ya 70 kulikuwepo na majumba sita ya senema jijini Dar. Bila kufuatilia mpangilio wa umaarufu au kigezo kingine cho chote...
  5. SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

    Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera. Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha...
  6. Huyu Askofu Mwamakula ni mfuasi wa vyama vya upinzani tu.? Kanisa lake liko wapi hapa Dar.?

    Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani. Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu. Kwa mfano...
  7. Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  8. Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

    Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
  9. Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar to Tanga

    Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
  10. Car4Sale Suzuki carry (kirikuu) inauzwa. Iko kinyerezi Dar

    Haina tatizo lolote. Gari ya kuwasha na Kuondoka baada ya Malipo. Bei 4.million Net. Dalali unanipa elfu 15 tu ya Bando la Mwezi. wahisha biashara achana na comments 0713096076
  11. I

    Hivi nikifungua digital marketing agency hapa Dar es Salaam, clients wapo?

    Habarini wakuu Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa. Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kutumia ujuzi huu nilionao kuniingizia kipato zaidi. Je nikifungua digital...
  12. Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

    Wakuu, Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni...
  13. Usafiri wa bus Dar hadi Tunduma

    Habarini za asubuhi Wanajamvi, Kwa wale wa dar poleni na mvua ya asubuhi asubuhi. Naomba kuulizia usafiri wa bus safi na huduma bora toka Dar hadi Tunduma. Nina wageni wangu kutoka nje wanataka kusafiri kwenda Tundumba kwa bus.
  14. DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake. ==== Dar es Salaam. Fears have...
  15. Ni lipi basi zuri la Dar - Iringa

    Habari, Naweza kufahamishwa usafiri mzuri wa Dar kwenda Iringa na gharama zake
  16. B

    Wabunge wa Dar es Salaam mmeshindwa hata kwenda kuwapa pole wapiga kura wenu Soko la Karume? Wanasiasa mnapata wapi kiburi dhidi ya wananchi?

    Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto. Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika...
  17. N

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia.. Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka...
  18. Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  19. Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

    [emoji397] [emoji577][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588]
  20. N

    Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili kufanya mchakato wa kufanya clearance, lakini bado wanataka Pesa nyingine 118000(Kwa ajil ya kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…