dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Karibu Elite Home tuition dar es salaam

    Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa. Huduma zetu zinapatikana kwa: Pre-School, Primary na Secondary Mitaala ya Tanzania na Cambridge Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Watoto 160 wamezaliwa kwa upandikizaji mimba

    DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho, Dk Clementina Kairuki wakati akizungumzia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KUTOKA SEOUL HADI DODOMA: Rasimu ya Warioba, Hofu ya Watawala Wetu, na Mustakabali wa Katiba Mpya Kuelekea Chaguzi

    Wana-JF, Kasi ya siasa za kimataifa hivi sasa inatupa masomo makubwa sana kuhusu nguvu ya sheria na umuhimu wa mifumo imara ya kikatiba. Hivi karibuni, tumeshuhudia Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, akihukumiwa vifungo vizito vya jela—ikiwemo kifungo cha maisha kwa kosa la uasi na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  5. JamiiForums Tanzania Wavulana wa Dar Es Salaam wanasikitisha sana. Hasa ambao wamekulia Kinondoni, Ilala na Magomeni

    Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania BAKWATA na Serikali waseme ukweli sababu ya kusimamishwa shehe wa Mkoa Dar es salaam

    Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi. "Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa. Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu. Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi wanatengeneza soli za viatu Dar es Salaam

    Habari wakuu, Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao. Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi? Nashukuru.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kumetolewa tahadhari ya El Niño ila hakuna elimu yoyote inatolewa kwa Wananchi, kwanini?

    Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema. Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
  9. JamiiForums Tanzania Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

    Kichwa cha habari chahusika, Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu. UBORA KATIKA KAZI: 1. Chakula kinaandaliwa na ma chef...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

    Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂 Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
  12. JamiiForums Tanzania Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026. Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania HOJA Majengo na Maghorofa chakavu yaliyopo katikati ya Jiji la Dar es salaam yapakwe rangi yanatia aibu

    Moja kwa moja ... Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote . Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Updates: Kinachoendelea kwenye Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa Saba Saba Julai, 2026 Dar es Salaam

    Leo Julai 7, 2026 ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa, maarufu kama Saba Saba (77), ambapo mataifa mablimbali hupata kuonyesha bidhaa zao na kuimairisha ushirikiano wa kibiashara na Tanzania. Siku imeanza vizuri ikiwa na kimvua kwa mbaliiii, kushusha vumbi njia ionekane vizuri ili...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Harufu ya rushwa katika Idara ya Utawala na Utumishi, Halmashauri ya Ilala

    Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu. Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo...
  16. JamiiForums Tanzania Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  17. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

    Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwazi kama Japan, Korea, Singapore na Ulaya?

    Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Nukuu za Rais Samia akimkaribisha Rais chapo κατικα maonesho ya biashara ya kimataifa, jijini Dar es Salaam

  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plots For Sale at Dar es Salaam

    Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale; Location: Dar es Salaam areas. •Mbagala Chamazi: Industrial area, 14km from Kilwa rd, 11 acres(SQM 42,308), USD 8M, Title Deed. •Kisemvule: Industrial area, 400m from Kilwa rd, 3.5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…