dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. SoC04 Managing traffic congestion in Dar es Salaam over the next decade

    INTRODUCTION Dar es Salaam stands as the largest city and economic center of Tanzania, located on the eastern coast of the nation. It functions as the primary seaport and commercial nucleus, holding an important role in trade and transportation across the region. Dar es Salaam has a population...
  2. Ushauri: Ni muda sasa Serikali kuweka mpango mkakati wa kupendezesha Miji kwa majengo yenye rangi na mazingira yanayofanana

    Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10) ifikapo mwaka 2030, nadhani kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia kwa ajili ya maendeleo ya Dar es...
  3. Msaada wa mwongozo wa jinsi ya kufika Visiwa vya Comoro tokea Dar Es Salaam

    Habari Wana jukwaaa? Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM Ahsanteni...!!
  4. G

    SoC04 Namna Halmashauri za Dar es Salaam zinavyoweza kuongoza nchi katika kupunguza utegemezi wa mafuta, upungufu wa dola na kuhamia kwenye matumizi ya gesi

    Kwa takriban mwaka mmoja sasa nchi nyingi za Afrika zimeendelea kukabiliwa na upungufu wa fedha za kigeni, hasa dola, fedha zinazotumika katika uagizaji wa bidhaa mbalimbali. Sababu kubwa zinazotajwa na wataalamu ni kubadilika kwa sera za kifedha nchini Marekani, pamoja na kuongezeka kwa...
  5. SoC04 Reducing Traffic Jams in Tanzania: A case of Dar es Salaam

    Traffic congestion is a major challenge in Dar es Salaam, Tanzania's largest and most economically significant city. With its rapid population growth and urbanization, the city's infrastructure struggles to keep pace with increasing vehicular traffic. To address this pressing issue, a...
  6. Bashungwa reassures Dar es Salaam residents on ferry service improvements

    The Minister of Construction, Innocent Bashungwa, has reassured the residents of Dar es Salaam who use the ferry services in the Kigamboni-Magogoni area, addressing concerns about the services provided by the Agency of Technical and Electrical Services (TEMESA). He stated that the fears were...
  7. Kawe, Dar: Hatimaye Kituo cha Mafuta cha Lake Oil kilichokuwa karibu na makazi ya Watu na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers chabomolewa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya Wakazi wa Kawe katika Wilaya ya Kinondoni, hatimaye Kituo cha Mafuta cha 'Lake Oil' kilichokuwa kimejengwa karibu kabisa na makazi ya watu kimeanza kubomolewa. Kituo hicho kilichokuwa karibu pia na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers kilikuwa...
  8. A

    KERO Responded Treni ya Dar-Tanga-Arusha imekwama, wanaohusika watoe mwongozo wa nini kinaendelea

    Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili. Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na imekuwa ikitajwa ni kuwa reli ilikuwa inafanyiwa marekebisho ya hapa na pale. Pili baada ya kukamilika...
  9. Maisha ya Dar es Salaam yamejaa anasa na starehe za kila namna

    Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha. Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa inaitwa Ambiance hapo kulikuwa na malaya wenye mizigo hatari unaweza ukatokwa udenda, ukirudi kwa nyuma...
  10. Kutumia sponge kupika chapati ni salama kiasi gani kwa afya za walaji?

    Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati. Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo...
  11. Udogoni Dar es Salaam 1960s

    UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi. Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita. Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965. Kulia ni Adam Kingui, Abdallah Mgambo na Kleist Sykes. Hawa wote walikuwa wanafunzi wa sekondari. Adam...
  12. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  13. Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  14. Kamanda Muliro jana alipewa Nishani ile ya Heshima Jeshi la Polisi kwakuwa anastahili au kwakuwa Tukio lilianyika tu Mkoa wake wa Dar es Salaam?

    Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
  15. F

    Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  16. USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  17. MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  18. Msaada: Usafari wa Dar-Miono unapatikana wapi?

    Habari Wakuu? Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani? Ahsante sana kwa msaada wenu.
  19. B

    Dar es Salaam ilikuwa Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  20. Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…