dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

    Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi? Hebu tubadilike. Watu...
  5. JamiiForums Tanzania Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  6. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kuzuia Fujo wasambazwa jijini Dar: Ni kutangaza hali ya hatari?

    21 September 2024 Ulinzi umeimarishwa jijini Dar es Salaam huku magari ya polisi yakionekana yakizunguka kuweka ukuta wa kufikirika https://m.youtube.com/watch?v=IJgCHuVI4dA Tanzania ni nchi ya kipekee kwa kutoonekana askari polisi kuzagaa ambapo nchi zingine kama Ethiopia, Kenya n.k ni...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DAR ES SALAAM: POLISI WAMWAGWA MITAANI

    Wakuu, Leo katika pitapita zangu maeneo ya Morroco nimekutana na gari za polisi za kutosha wakiwa wamevalia special kupambana na waandamanaji samba samba na hilo pia gari za maji ya kuwasha zlikua znapita pita maeneo hayo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa dar es salaam

    Habari Laptop kali sana hii ni mpya kabisa,inakaa na charger siku 2 kutegemeana na matumizi yako, hii inafaa kwa wale wa video production,graphic,music production na ma engineer woe wa mijengo Specification zake hizi hapa Processor:- 12th gen intel (R)core (TM) i7-1255u 1.70 ghz Ram:- 8.00 GB...
  10. JamiiForums Tanzania Askari Mgambo – (317 positions) at Dar es Salaam City Council September 2024

    Position: Local Militia (317 positions) General Requirements: Tanzanian citizen Completed Form Four or Six Must have a National ID or NIDA number Fluent in Kiswahili and English Physically and mentally fit, confirmed by a government doctor No history of drug abuse Ready to work anywhere within...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

    Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania? Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali, Utalii, Uchumi, Miundombinu bora
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata haya matunda kwa hapa Dar es salaam?

    Kichwa cha habari hapo kimejitosheleza Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au Pitahaya Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
  14. JamiiForums Tanzania Sativa: Kisa cha kutekwa na kuteswa

    Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
  15. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  16. JamiiForums Tanzania Font ya maneno “City Bus” kwenye ubavu wa daladala za Dar es Salaam ni ubunifu wa nani?

    Wakuu, Kuna jambo nimejiuliza siku nyingi sana kuhusu maneno “City Bus” yanayoonekana kwenye daladala nyingi za Dar es Salaam. Font ya haya maneno yanafanana katika daladala zote na hili ndilo lililonifanya nijiulize kama hii font kuna mtu mwenye hakimiliki yake maana imekuwa kama ndiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  18. JamiiForums Tanzania Assistant Lecturer (MARINE ENGINEERING) – 2 POST at Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

    Job type: Full-time POST ASSISTANT LECTURER (MARINE ENGINEERING) – 2 POST EMPLOYER Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) APPLICATION TIMELINE: 2024-09-03 2024-09-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 8 (Bachelor Degree); ii. To assist senior staff in...
  19. JamiiForums Tanzania Lecturer (MARINE ENGINEERING) at Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

    Job type: Full-time POST LECTURER (MARINE ENGINEERING) – 1 POST EMPLOYER Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) APPLICATION TIMELINE: 2024-09-03 2024-09-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES I. To teach up to NTA level 9; ii. To guide and supervise students in building up their practical...
  20. JamiiForums Tanzania Usiku Jiji la Dar es salaam ni full enjoyment and comfortability

    Mchana Dar es salaam ni mateso juakali na msongomano wa watu sehemu za masoko na vituo vya daladala eg Kariakoo, karume, Ilala boma, Manzese etc unapotembea lazima mgusane gusane na kupigana vikumbo na watu na wakati huohuo usumbufu wa bodaboda, bajaji, na magari. Mchana hewa inakuwa nzito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…