dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. P

    Tangazo la Dawasa kwa wakazi wa Dar es Salaam lina maana gani?

    Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki. Nawatakia Jumatatu njema.
  2. G

    PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  3. W

    House4Sale Nyumba (lodge) inauzwa Kitunda Dar es salaam

    NYUMBA INAUZWA (LODGE) Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM) Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo) Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public toilet, parking & fance. ✅Document: Hati Miliki Ipo Contact 📲 0748270719
  4. Kigali Vs Dar es Salaam battle

    Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa. Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar. MAENEO YA KULINGANISHA BIG PROJECTS BARABARA ENTERTAINING CENTERS like stadium AIRPORTS STAND/BUS/TRAIN STATION POPULATION MIGRANTS (Wazamiaji)...
  5. Driver and Clerk at UNDP Dar es Salaam at July, 2024

    Background The United Nations Capital Development Fund (UNCDF) is the United Nation’s flagship catalytic financing entity for the world’s 46 Least Developed Countries (LDCs). With its unique capital mandate and focus on the LDCs, UNCDF works to invest and catalyse capital to support these...
  6. Tulizoea kuyasikia haya yakitokea Mikoani tu kumbe hata Dar es Salaam tunakosema kuna Waliostaarabika pia kuna huu Upumbavu na Ukatili usiovumilika?

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. Chanzo: itvtz Kuna Siku nitaiomba Serikali inipe hata mara moja tu GENTAMYCINE ruhusa ya...
  7. Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
  8. PreGE2025 Kwa hali ya siasa ilivyo nchini, binafsi sioni upinzani katika ujumla wao nchini, wakipata zaidi ya 5% ya kura zote katika uchaguzi mkuu ujao 2025

    Hasa kwenye nafasi ya Urais.. wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact... Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya vyama vyao wanajipiga kifua tu, safari hii sijui nini na nini huko, siku imeisha.... Hawana agenda...
  9. Msaada wa wazo la biashara (Dar es Salaam)

    Habari za wakati huu nduguzangu. Mungu ni mwema juu ya mapitio yote ya hapa na pale naamini sote tu wazima, penye walakini Mungu alete neema. Nilifanikiwa kupata ID ya mtihani siku ya mtihani (kwa wanaokumbuka, nitaelezea kilichonipelekea hapo kwa wakati mwingine) Mimi ni kijana wa kiume (22)...
  10. NATAFUTA DLDM YA KUNUNUA, DAR ES SALAAM

    Habari, Natafuta Dldm ya kununua offa yangu 2.5 Hadi 3 Mil Mauzo kwa siku angalau iwe 25k Hadi 30k kwenda juu DUKA LA DAWA MUHIMU
  11. Chukueni hii; Wekeza katika sekta ya usafirishaji upige pesa

    Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam. Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya...
  12. W

    Unafahamu jina la awali la jiji la Dar es Salaam?

    Jiji la Dar es Salaam lilianza kama Kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki na ambazo zilijulikana kama ‘Caravan Routes’. Ujenzi wa Makao ya Sultani pamoja na...
  13. Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  14. Wizara ya Ardhi yaendelea kutoa huduma za ardhi maonesho ya Sabasaba, Dar es Salaam

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma za ardhi kwenye Maonesho ya 48 ya Bishara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Temeke jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na...
  15. Nina swali kuhusu DSE( Dar es Salaam stock exchange)

    Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE. Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers. Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza. Nikajaribu kuforget password system...
  16. TRC yatangaza ratiba mpya ya SGR, Treni ya Express Dar-Moro haitasimama vituo vya njiani

    MABADILIKO YA RATIBA NA ONGEZEKO LA SAFARI ZA TRENI ZA SGR KUANZIA TAREHE 5 JULAI 2024 Dar es Salaam, Tarehe 1 Julai 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuhusu mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni za reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kati ya Dar es Salaam na...
  17. Waziri wa Maji Aweso kuweka Kambi jijini Dar Es Salaam hadi kieleweke

    WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA). Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo...
  18. Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  19. Naomba kujuzwa chuo kinachotoa kozi ya Auto-Electric na sio ya Engineering

    Umeme wa magari ukiacha chuo cha NIT, DIT na VETA chuo gani apa Dar kinatoa kozi Io naombe mnisaidie wakuu
  20. INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako Tunapatikana tabata Namba zetu 0717209569
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…