dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. PreGE2025 Nasra: Dar es salaam sio lango la wanaharakati uchwara

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Nasra Mohammed amekemea baadhi ya Wanaharakati uchwara kutoka nchi za jirani kuingia jijini humo kuingilia masuala ya nchi ya Tanzania. Kauli hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kuwepo baadhi ya wanaharakati ambao waliwasili jijini Dar es Salaam...
  2. Tantech services

    Karibu Tantech ujipatie huduma mbalimbali kwa bei nafuu kama website,system,application design.,Digital marketing,social media boosting followers tiktok 1k=8000tzs instagram 1k=8000tzs likes tiktok 10k=12000tzs instagram 10k=12000tzs views tiktok 10k=10000tzs instagram 10k=10000tzs karibu...
  3. Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  4. K

    Eneo gani Dar kwa kijana anayejitafuta anaweza kujenga makazi?

    Kwa wataalamu wa mipango miji na wajuvi wa mambo, ni eneo gani hapa Dar kwa kijana anayejitafuta, mwenye kipato cha kati anaweza kununua Kiwanja kwa lengo la kujenga makazi ya familia ndani ya miaka 5 mpaka 7 ijayo. Eneo unaloweza kulea familia comfortably na bei za viwanja ni za kizalendo
  5. INAUZWA Panasonic LUMIX GH5 4K Digital Camera TSH 3.7MILLION | DAR ES SALAAM

    PANASONIC LUMIX GH5 – Kamera ya Kitaalamu kwa Picha na Video za 4K INAUZWA 3,700,000/= Ikiwa wewe ni mpiga picha au mtengenezaji wa video unayetafuta ubora wa juu, basi Panasonic Lumix GH5 ni kamera ya ndoto yako. Kamera hii ni ya daraja la kitaalamu, na imeundwa mahsusi kwa ajili ya kazi za...
  6. Invest in Prime areas in Dar es Salaam

    Hello. Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. These plots, houses and apartments are available. Plots for Sale; •Kigamboni Dege (10plots in one area): Amani Gomvu st, 800m from main rd, SQM 800, TZS 25,000 per sqm, Title Deed. •Kigamboni Kisarawe 2...
  7. PreGE2025 Mkurugenzi Kailima awaita Wananchi wa Dar kujitokeza kuhakiki, kuboresha taarifa zao Daftari la Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi...
  8. Mlioko Dar es Salaam, vipi mmepata huu mwaliko?

    Ccm wanaendelea kufurahia Mema ya nchi huku shuleni kukiwa hakuna walimu na wanafunzi wanakaa chini bila ya madawati🤔🤔🤔
  9. Fundi wa gps track in Dar es salaam

    Piga 0746373222.....Je, unamiliki gari,pikipiki au bajaji(chombo cha moto)? Je,unataka kukilinda na kukifatilia chombo chako popote kinapokwenda? Je,Umechoka kupewa taarifa za uwongo na dereva wako kuhusu chombo chako cha moto? Tupigie ☎️0746373222 tukuambie namna ya Kutumia Gps tracker...
  10. Mkurugenzi TANTREAD usitupotoshe kuhusu Dar es Salaam International Trade Fair

    Leo nimekusikia ukisema kwenye maonesho ya mwaka huu yatakayoanza 28/06 mpaka 12/07 (hivi kama sijakosea) mmepanga siku ya wanafunzi kuwafahamisha kuhusu Sabasaba ni nini! Nilishituka kidogo kuhusu uhusiano gani uliyopo kati ya Sabasaba na maonesho hayo ya Dar es Salaam! Nijuavyo zamani chini...
  11. Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

    Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
  12. Kigamboni ni wilaya pekee iliyotelekezwa ndani ya mkoa wa Dar es Salaam

    Kwa utafiti wangu hii ni moja kati ya wilaya bora sana kwa landscape yake na hali ya hewa inayochagizwa na bahari ya hindi jambo linatoa fursa mbalimbali za kiuchumi kama ukitazama wilaya hii kwa jicho la kibishiara na uwekezaji lakini jambo baya zaidi katika wilaya hii ni kama imetelekezwa...
  13. Nyumba inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  14. Ujenzi DART Dar es Salaam, Serikali iko likizo?

    Siyo siri, ujenzi wa mradi wa Dar es salaam Rapid Transport(DART), una matatizo makubwa. Mkandarasi barabarani hana vifaa kabisa vya kukidhi kazi hizi kubwa. Kwa observation ya wazi ni kwamba mkandarasi mchina, kwanza hana uwezo. Pili linaloigusa Serikali moja kwa moja ni kwa nini mkandarasi...
  15. Msaada wa kampuni ya kufanyia IPT Kwa Dar es salaam

    Wakuu salam. Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya mawasiliano ya kielectronic kama AIRPORT,VODA,TCRA nk anisaidie kupata nafasi ya kufanya mafunzo ya vitendo...
  16. PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  17. Kama kuna mwenye kitabu Cha Dar es salaam usiku cha Ben R. Mtobwa anisaidie

    Niko chini ya miguu ya atakeyenisaidia hicho kitabu tajwa hapo juu🙏. Cc Mshana Jr
  18. Safari ya kusisimua kutoka Dar es salaam hadi Musoma

    SAFARI YA KUSISIMUA: DAR ES SALAAM - MUSOMA KWA X-TRAIL Safari ya kipekee! Leo tunazungumzia safari ya kipekee kutoka Dar es Salaam hadi Musoma—safari ndefu lakini yenye mandhari ya kuvutia, mabadiliko ya mazingira, na uzoefu wa kufurahisha. Safari hii siyo tu kwamba inahusisha mvuto wa...
  19. Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja au zaidi kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?

    Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi? Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara wengi wa Dar hasa Sinza wanakodi fremu za bei ghali sana lakini bidhaa wanazouza hazilingani na kodi...
  20. Y

    Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…