daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote

    Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
  2. W

    Responded Marekebisho ya vyoo Stendi ya daladala Mbezi Luis yameanza kufanyika

    Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea. Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
  3. B

    Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  4. Msanii

    Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

    Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni. Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha...
  5. Jidu La Mabambasi

    Tetesi: "Hu arr yuu"- kumbe ilikuwa nguvu ya mshika bomba la daladala!

    . Ulanzi si maji. Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu. Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!" Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile? Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!! Za chinichini
  6. Think2

    Ni aibu kubwa kwa askari wa jeshi kupanda daladala za jerojero

    Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee . Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
  7. The Burning Spear

    PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  8. N

    Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  9. Mafyangula

    Moto ulivyozua hataruki kwa abiria daladala ya Gongolamboto Masaki

    Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini. Moto huyo uligundulika na Wananchi ambao wapo nje ya gari hiyo na kusaidia gari hiyo kusimama na...
  10. Analogia Malenga

    DOKEZO Mwendokasi Kivukoni-Kimara imezidiwa, daladala ziruhusiwe

    Aisee najua watz wengi wenye maisha ya kawaida hutumia usafiri huu ili kupunguza gharama za maisha. Njia ya Kivukoni - Kimara ina bajaj lakini bado mwendo kasi ni vita ya kufa na kupona ambapo hali hii sio tu ni madhara kwa watumiaji bali pia kwa magari yenyewe na miundombinu. Inaonekana kabisa...
  11. Royal Son

    Ukweli ni mtamu ila kuna muda ni mchungu kula chuma hicho

    Kama Video inavyojielezea
  12. Yoda

    Tusidanganyane, Tanzania hakuna usafiri wa mwendokasi ila daladala za kawaida zinaweza kugeuzwa mwendokasi

    Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba kura ndani ya Daladala

    "Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa. "Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kitila Mkumbo aomba kura kwenye daladala

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Alexander Mkumbo leo Septemba 12, 2025 amefanya kampeni za aina yake kwa kuomba kura kwa abiria walio ndani ya Daladala zilizokuwa zinachukua abiria katika Kituo cha Riverside, Ubungo Dar Es Salaam. Kitila...
  15. Ghost MVP

    KERO Daladala kupakia/kushusha abiria popote wanapojisikia kunasababisha foleni, Mamlaka zimeshindwa kuwadhibiti?

    Kumekuwa na 'Trend' hivi karibu kwa wasifirishaji abiria Mjinia "DALADALA" kukwepa Vituo Rasmi vilivyotengwa kwaajili ya Kupakia na Kushusha abiria na kisha kuegesha njiani ili kumzui mwenzake aliye nyuma asimpite. Hii imekuwa Kero kubwa sana ambayo husababisha foleni na msongamano mkubwa wa...
  16. S

    Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  17. Lucha

    Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

    Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa. Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana. Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo...
  18. haszu

    Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba...
  19. N

    KERO Jeuri ya Makondakta kuongeza nauli daladala za Segerea-Kawe imefikia kiwango cha juu kisicho vumilika. LATRA mmelala?

    Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku. Kwa...
  20. Penguinelli Cactussini

    Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?). Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
Back
Top Bottom