20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?
Habari za muda huu wanajamvi.
Katika harakati zetu za utafutaji Kuna mambo mengi hautokei, mengi hutuimarisha lakini hata kutuvunja moyo pia.
Naamini Kila anaepambana awe mwanaume/mwanamke, lengo Huwa nimafanikio katika uhuru wa kifedha.
Sasa Kuna Ile Hali sijui niite kucheza karata muhimu...
Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa.
Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha...
Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka.
labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea.
Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy
Karibuni.
https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa...
Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua.
Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe...
Mzinze anamwaga maji tu Shekhan anatia vitu 😀 huyu dogo Mfaume aliyefunga goli la kwanza yuko vizuri sana. Engineer afikirie kumleta kikosi cha kwanza
Mchezo upo Live TBC 1
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.
Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔
◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca.
◉...
Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza.
Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja.
Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.
Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka.
Kuna mambo mengi nyuma...
Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa sampuli mbali mbali, iliyopelekea mpaka wengine kutengeneza familia.
Changamoto niliyokutana nayo, wengi hawataki uchukue muda mrefu ukitafuta goli, wanataka dakika zisizidi 20; hii imepelekea, wao wakirizika wanakuwa hawatoi ushirikiano kwenye kunesa nesa...
Salam humu.
Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine.
Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.