cwt

  1. amarina

    Serikali yangu sikivu nihurumieni Mimi Mwalimu Sina nguvu za kumtikia CWT

    Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
  2. Roving Journalist

    Mbeya DC: Walimu wanaotaka kuhama CWT na chama chochote wafuate taratibu watapewa uhamisho

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika. Awali, Mdau huyo alidai...
  3. A

    KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  4. A

    KERO DED Lushoto tusaidie tutoke CWT

    Mimi ni mwalimu kutoka tarafa ya Mlola, Lushoto DC. Mkurugenzi Mtendaji Lushoto DC tunaomba utusaidie walimu tulioandika barua za kujitoa CWT na kuhamia CHAKUHAWATA, ofisi ya utumishi inasuasua kushughulikia barua zetu kwa zaidi ya miezi tisa sasa licha ya kufuatilia mara nyingi tangu mwezi...
  5. M

    CWT imedanganya walimu kuhusu kupanda madaraja?

    Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali imekubali kupandisha walimu madaraja bila kutumia kigezo hiko kwani bado huu mfumo ulikuwa mgeni kwa...
  6. J

    Matamko ya CWT kuhusu Mfumo wa PEPMIS yanatuchanganya, Serikali iweke wazi kuhusu upandishaji wa madaraja ya Walimu

    Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System (PEPMIS). Hivi karibuni, CHAMA CHA WALIMU...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    CWT yamshukuru Rais kwa kuwaongezea walimu mshahara

    Kumbe watu wameongezewa mshahara na hamsemi. CWT friji lao haligandishi, tayari washawekewa pesa kama walivyohaidiwa. Watumishi wengine vipi na nyie hamjatoa shukrani?
  8. saligongo

    ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

    Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
  9. M

    Maswali juu ya kesi ya uhujumu uchumi CWT Maswa: Takukuru yakaa kimya miezi mitano baada ya mahojiano

    Maswa, Simiyu – Zikiwa zimepita takriban miezi mitano tangu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Maswa kuwahoji viongozi wa zamani na wa sasa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilaya hiyo kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za chama, hakuna hatua yoyote ya kisheria...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Wanachama wa CWT wataka kibali cha kuwashtaki viongozi wa chama hicho kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za chama

    Wanachama watatu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamefungua shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, wakiomba kibali cha kufungua shauri la jinai kwa walalamikiwa wanne wakiwamo viongozi chama hicho. Mbali na hilo, Mahakama hiyo imetoa siku 14 kwa walalamikiwa kujibu hoja kabla ya kutoa...
  11. dorge

    CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

    Nini maana ya kuchanga, kutoa michango. Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea. Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na...
  12. S

    Ombi kwa rais Samia juu ya mkurugenzi wa wilaya ya Busega ndugu Maiko Richard Kachoma dhidi ya walimu waliozuiwa kuhama CWT

    Kwako,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan YAH: MALALAMIKO JUU YA MKURUGENZI WA WILAYA YA BUSEGA NDUGU MAIKO RICHARD KACHOMA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima,Sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Busega tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu...
  13. peno hasegawa

    Ni nini hatima ya Mwalimu Leah Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT),baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi wa CWT

    Mwalimu Leah Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), anazungumziwa sana baada ya kushindwa katika uchaguzi wa uongozi wa chama hicho. Hatima yake imekuwa ya wasiwasi kwa wengi, hasa kutokana na mchango wake mkubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu nchini. Baada...
  14. Peter Mwaihola

    Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

    Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa. Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
  15. E

    Suleiman Ikomba achaguliwa kuwa Rais mpya Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemaliza kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya. Kura moja iliharibika, na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kufikia 869. Uchaguzi huo umefanyika jana...
  16. Travis Kitengo

    Magesa Protas katibu wa zamani TCS wilaya ya Bunda anastahili unaibu katibu mkuu CWT walimu ngazi ya taifa

    Protas Magesa Katibu wa zamani TSC (Teachers Service Commission)wilaya ya Bunda anatajwa na wajumbe wengi kama kiongozi anayestahili kuwa naibu Katibu mkuu CWT. Hakika kwa walimu huyu mtu anastahili kuwa naibu Katibu mkuu ngazi ya Taifa.Wajumbe wa mkutano mkuu msitangulize waganga njaa,huyu...
  17. Damaso

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  18. Just Pray

    Mbozi: Walimu wawataka viongozi wapya CWT kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimia mbili kwenye mishahara yao

    Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni pamoja na kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimi mbili ambayo hukatwa kwenye mishahara yao ...
Back
Top Bottom