Habari za jion, naomba kupewa ufahamu juu ya hili,
Leo nilienda garage flani kwa ajili ya kubadilisha shockup gari ni crown athlete na ni shockup za rear wheel, sasa baada kumuelezea fundi na kuikagua gari akasema shockup zangu ni za umeme na pair zinauzwa laki 8.
Lakin sikuridhika na maelezo...