Visa vipya 414,188 na vifo 3,915 vimerekodiwa Nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia Milioni 21.49 huku waliopoteza maisha wakifikia 234,083.
India imerekodi jumla ya visa Milioni 1.57 na vifo vipatavyo 15,100 kwa wiki hii pekee huku ikiaminika takwimu halisi za maambukizi na vifo ni kubwa...