cover

In popular music, a cover version, cover song, remake, revival, or simply cover, is a new performance or recording by a musician other than the original performer or composer of the song.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  2. gonamwitu

    Nauza iPhone 12 plain 128gb,charger,earpods na cover

    Nauza iPhone 12 plain simu haina shida yoyote ile iko pilu namba 0768073471 simu ipo dodoma.
  3. Mad Max

    Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  4. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  5. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  6. Rusumo one

    Tyre cover

    Hongereni kwa kazi wakuu, nohitaji tyre cover la spare tyre la Toyota rav 4 miss tz linalofunika tyre mlango wa nyuma mwenye nalo anipe bei au yanapopatikana
  7. Epateletech

    Vioo na betri za simu kwa pixel na iphone

    Leo nikupe mkeka mpya kabisa wa bei nafuu kwa wale wenye shida za matengenezo ya simu zao Epateletech tuko ubungo mawasiliano 0757937196 HIGH CAPACITY BATTERY FOR GOOGLE PIXEL ALL SERIES PIXEL BATTERY 🔋 REPLACEMENT 3 - 25,000 3A - 30,000 3XL - 30,000 4 - 40,000 4A - 40,000 4XL - 40,000 5 -...
  8. USSR

    Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi anayejaza warundi nchini) kuwa mwakilishi wa vijana?

    Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa . Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
  9. The Transporter

    Msaada wapi kwa kupata cover bora za computer kwa DSM

    naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
  10. stabilityman

    BATI PEKEE AMBALO HALIPAUKI KWA TZ HILI HAPA NA BEI YAKE KWA SASA 24 MARCH

    Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500 Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669 Ukitaka fundi kupaua pia yupo
  11. ELI COHEN

    Imegundulika kuwepo na miundo chini ya piramidi ya giza inayo cover zaidi ya kilometa 2. Aisee dunia haishiwi mysteries

    Kwa kutumia Rada Yenye Nguvu Inayopenya Kwenye Ardhi, Wanasayansi Wamechora Muundo Zaidi ya Mara Mbili ya Urefu wa Jengo refu Zaidi Duniani Chini ya Piramidi ya Khafre kwenye eneo la pyramid ya giza. Huu Uchunguzi mpya wa rada unaonyesha mtandao mpana wa miundo mikubwa chini ya Piramidi ya Pili...
  12. Wamisosi

    Samsung cover photos bwana

    Hali bado tete.
  13. Top Gun

    Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  14. G

    Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
  15. FRANCIS DA DON

    Cover song ya wimbo wa ‘Ova’ by Mbosso

    Huo hapo, by Hassan Mapenzi
  16. M

    Natafuta cover ya wimbo wa Hapana wa msanii Marioo

    Natafuta cover ya wimbo wa Hapana wa msanii Marioo ulioimbwa na mdada fulani hivi ukatumika katika tamthilia ya Jua kali. Anaeweza kunisaidia namna ya kuupata tashukuru.
  17. Melki Wamatukio

    Wataalamu wa Music Artwork (Cover) naombeni msaada

    Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps. Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Tunatafuta watu wa kudesign logo, cover na poster za kuvutia

    Habari wakuu, Tunatafuta watu wa kudesign logo, cover na poster za kuvutia. KAMA UNAWEZA KAZI HII EMBU TUTAFUTE WHATSAPP: 0747744895 KARIBU
  19. Melki Wamatukio

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
Back
Top Bottom