Habari wadau, poleni na kazi.
Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level?
Nawasilisha mada.
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi?
Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
Habari ndugu zangu!!
Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana.
Elimu:
Degree ya Computer Science
UWEZO
1. Programing (C++, Python, Visual basic)
2. Computer Mantainance and troubleshooting
3. Photocopy Mantainance and troubleshooting
4. Printer Mantainance and...
Nimemaliza diploma kutoka college ja ndoto zangu ziko in computer science najua programming languages kadhaa inshort najua field hii inataka nini.
Ila changamoto ni chuo kipi kitanifaa kwa level yangu na kunipa chance ya kula explore deeper in the field.
POST AGRICULTURAL TUTOR II – COMPUTER SCIENCE – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules...
St. Mary’s International Schools is looking for a computer course teacher for our Dodoma campus. Applicants should have a university degree in Education or Computer Science, at least 2 years of prior teaching experience, fluency in English and the ability to teach programming and typing.
We are...
Habari za siku ya leo,
Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science.
Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni mafanikio yoyote.
Pia kama kuna anayejua baadhi ya website zinazotoa course kama hizi pia naomba...
Shikamooni,
Mimi ni form four graduate na Nina mpango wa kwenda college for further studies. Nina division 2 na nimebalance science subjects zangu zote pamoja na computer studies Kwa wastan wa "c".
Napenda sana mambo ya graphics sana sana motion graphics and animation.
Nilikuwa nataka...
Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project
Vigezo
Awe amemaliza chuo mwaka jana
Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills.
Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
Salaam,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa.
Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale.
Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.