comment

No comment is a phrase used as a response to journalistic inquiries which the respondent does not wish to answer. Public figures may decline to comment on issues they are questioned or have nothing to say about the issue at the time.
No comment indicates that the speaker does not choose to say anything on the subject, and it is automatically invalidated if the speaker then comments or answers questions. It is not a request for the material to be considered off the record or otherwise kept confidential. If the speaker wishes to talk about the subject, but does not wish to be named as a source, he must obtain the journalist's explicit agreement in advance that the response is not to be used for attribution.

View More On Wikipedia.org
  1. Funny boe

    Onyo: Napiga marufuku kwa member yeyote yule kutoa like kwenye post au comment yangu yoyote

    Katika hili naomba niwataje kabisa Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS..
  2. Sifi Leo

    BODIgad wa Magufuli uliyetamka no comment USIDHANIe hakuna lijalo jipange wakati WA bwana ni sahihi

    Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa, Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
  3. M

    Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
  4. K

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Rais Museveni wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia. Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Museveni mwenyewe kupitia akaunti ya rais. Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini? Kama taarifa hii...
  5. Damaso

    Gerson Msigwa Kwanini umefunga Comment Section?

    Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo basi, tangazo la msiba wa mama wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, limeibua mjadala...
  6. M

    PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

    Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI. Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
  7. Scared

    Instagram ina tatizo gani comment zingine hazionekani?

    Unakuta mfano kwenye page ya mange kimambi comment zinaonekana zipo elfu 2 kabla hujazifungua kusoma lakini ukifungua kusoma hazifiki hata comment 30 tatizo ni Nini huu mtandao hao wamelipwa ili kufanya hivi tanzania
  8. Analogia Malenga

    Msigwa amepost na kuomba comment ziwe fupifupi ila kafunga comments

  9. Its Tesha

    Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

  10. The Burning Spear

    Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  11. Fbn

    Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  12. Beira Boy

    Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko LONDON BOY
  13. ELI COHEN

    Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  14. mshale21

    Inashangaza sana, mawaziri wanazuia comment kwa wananchi kwenye jumbe zao, wengine wanawablock au kuhide comment

    Tumefika huku, waziri anatoa ujumbe alafu anazuia comment, Rais atoa ujumbe then anablock wananchi wake au anahide comment za wananchi, yani ni mwendo wa matofali tu, sijui kwa nini tumefika hapa
  15. Lord Denning

    Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

    Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi. Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG. Hongereni...
  16. ELI COHEN

    Huu ndio uzi ambao nilisoma kila comment ilioandikwa

    https://www.jamiiforums.com/threads/tukutane-hapa-tuliowahi-kuvamiwa-na-majambazi-tupeane-uzoefu-ushuhuda.1680289/ Ni wa Stori za kusisimua juu ya kuvamiwa na majambazi. Vp upande wako?
  17. Knock life

    Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  18. EvilSpirit

    Aisee kuna member anakuwaga makini sana kufuatilia thread,haruki thread wala comment

    Member mwenyewe ndio huyu hapa sijui ni nani huyu
  19. ward41

    Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

    1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
  20. KUKU_UFUGAJI

    Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
Back
Top Bottom